ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Mimi radio ninayosikia naona ya kijanja ni East Africa radio iko vizuri kinoma.taja yako tuone ipi inasikilizwa Sana na Wana JF members.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RTD... hasahasa kipindi cha cheichei shangazi
Burundi huko!
Tuko pamoja 103.3 all dayThe People’s Station, V-103.3.
Kili fm bado ipo kumbekili fm, boma hai fm, kibo fm, standard fm, kili fm pasua msonobari sorry rekebisha heading weka steshenzi kiwe kwenye singula aendi pluro maana wengine tuna mafavoraiti siyo favoraiti
Ndiyo burundi yenyewe hiyo.
....Dah kweli waha hatupendani, yaani kibondo ni burundi?Ndiyo burundi yenyewe hiyo.