.....Mbona kuna watu sijui niseme mna 'akili' ndogo au hamna kabisa, Yaani uzi unasema utaje radio station unayoipenda, mimi nikaandika kwizera then kuna mtu anakuja ku-quote eti hiyo iko burundi, kwani kama iko burundi shida iko wapi!? au kuna limit kwenye kutaja hizo radio kwamba utaje za Tanzania Tu!!!?, MAN UP BOY.
1. BBC WORLD SERVICE.
2. HOmeBoyz Radio- Nairobi.
3. BBC Radio 1Extra .
4. Kiss 100 Nairobi.
5. 181 FM The Box.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Amen Man Of God
Andikeni na majina ya station wengine tupo visiwaniThe People’s Station, V-103.3.
Kwenye hii Redio miaka ya 2013 kulikuwa na mtu mmoja Maarufu sana Aliitwa Mwalimu Kaijage wa Kasulu…..!!!! Yaani kila siku lazima niisikie…!!!