The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Hiki kikiristo nimetoka kapa hapo may be ngoja nimsubiri Kloro au Babu aje anitafasarie
Strategy.......................Mkakati wa kuhifadhi pendo au kustay in that love for long time or to keep that love au sijaelewa hapo
wewe umeoa sio sema ulifanya mkakati gani hadi ukaoa yani ukafanikiwa kutimiza ilo lengoHiki kikiristo nimetoka kapa hapo may be ngoja nimsubiri Kloro au Babu aje anitafasarie
Strategy.......................Mkakati wa kuhifadhi pendo au kustay in that love for long time or to keep that love au sijaelewa hapo
We jamaa upo?
wewe umeoa sio sema ulifanya mkakati gani hadi ukaoa yani ukafanikiwa kutimiza ilo lengo
Nipo aise mambo niaje mkuu
Napambana na maisha tuu mkuu
wewe umeoa sio sema ulifanya mkakati gani hadi ukaoa yani ukafanikiwa kutimiza ilo lengo
i have strategic plan niko kwenye action tf
Hiki kikiristo nimetoka kapa hapo may be ngoja nimsubiri Kloro au Babu aje anitafasarie
Strategy.......................Mkakati wa kuhifadhi pendo au kustay in that love for long time or to keep that love au sijaelewa hapo
We jamaa upo?
Nyie watu sijawatia kabisa Machoni...... Alafu Mwanakili ulikuwepo kifunguoni tena?? Au nimechanganya madesa??

ulikuwa hujui? Ana hadi wajukuu huyoaise ni kwel uyu raia kaoa
Yaani nimekumiss mbaya hapa jukwaani yaani mpaka palipooza kabisa kwa kupotea kwako
Mambo dear
Mwanakil ananichanganya tuu hapa
ulikuwa hujui? Ana hadi wajukuu huyo
ulikuwa hujui? Ana hadi wajukuu huyo
Mkuu nina imani kwamba suala la wewe kuoa halikuja ghafla tu bin vuu lazima ulikuwa na mikakati fulani sijui kama nitakuwa nakoseaHiki kikiristo nimetoka kapa hapo may be ngoja nimsubiri Kloro au Babu aje anitafasarie