What Is Your Strategy?

daqaahh sasa visiki si heri nichimbe vya kwangu jamani? Kazi ipo
 
Shemeji kwa nani?? yaani hizi siku chache ndo changes hizi?? (kulikua na strategy gani imetumika?? lol) SIS BWANA ACHA KUKOMPLICATISHA MAMBO WKEND HI.. TF NAE AMETUPA TOPIC NGUMU HAPA SAAH NGOJA NIKALE ZANGU ICE CREAM MIIE
 
strategy nyingi ni jinsi ya kumpata mwenza ndivyo tuaminivyo lakini hatujiandai kwa njia zipi za kuishi nae na kuendelea kuwepo kwa kile kilichoanza
 
Alafu PA hii ni weekend.... MMU unatuletea topic ya kutufikirisha hivi... ndo nini mpaka mie nimemwaga juice yangu hapa.....lol
PA halafu mbona umekimbia swali langu lol!
 
daqaahh sasa visiki si heri nichimbe vya kwangu jamani? Kazi ipo

Kuvichimba mwenyewe ni sawa ila kuna sehem unafikia unashindwa na kuishiwa maarifa na ndo maaana sasa unaweka mipango ya kupmata mwenza na kuweka mikakati hata kama utamtaka TF hapa ila weka mipango tuu
 
strategy nyingi ni jinsi ya kumpata mwenza ndivyo tuaminivyo lakini hatujiandai kwa njia zipi za kuishi nae na kuendelea kuwepo kwa kile kilichoanza
BPM thanks kwa mtazamo wako kwa maana nyingine baada ya wengine kufanikisha strategy zao wanasahau jinsi ya kuzitumia kwa yule mtu alyenaye tayari?
 
BPM thanks kwa mtazamo wako kwa maana nyingine baada ya wengine kufanikisha strategy zao wanasahau jinsi ya kuzitumia kwa yule mtu alyenaye tayari?

wakifanikisha wanaona ndio kilele cha kila kitu kumbe hawaelewi ile stage ni ndogo sana kuliko ile ya kuishi na mtu na kumantain yale yaliyo sahihi
 
wakifanikisha wanaona ndio kilele cha kila kitu kumbe hawaelewi ile stage ni ndogo sana kuliko ile ya kuishi na mtu na kumantain yale yaliyo sahihi

Naamini asilimia kubwa kwa wanaume tunaitumia kwenye kutafuta mtu halisi kw aajili yetu
Yaani nguvu nyingi sana tunatumia kutafuta mchumba na kuhakikisha kuwa tunaudumisha huo uchumba kwa gharama zozote na tukiw atayari kutumia chochote tulicho nacho kumaintain that relationship
Tunasahau kuwa hizo hizo nguvu na mali tunatakiwa tuzitumie kwenye kuhakikisha kuwa the same love we had wakati wa uchumba must be the same when we are together as husband and wife
Ila tatizo letu tunamalizia mikakati yote kwenye kutafuta wachumba ila tukishaoana kila mtu na lwake
 
Nakubaliana nawee....

.........lolz.........

Give me a break jamani.... Swali lako gumu alafu mbona i have answered.... Mie nashangaa umewaachia Rock na Bebii hujawabana....lolz
Rocky sijui anaogopa nini, bebii huyo ndio usiseme kabisa lol
 
yeah ni kweli mkuu tunajitahidi kwa vitu temporary na si permanent
 
wakifanikisha wanaona ndio kilele cha kila kitu kumbe hawaelewi ile stage ni ndogo sana kuliko ile ya kuishi na mtu na kumantain yale yaliyo sahihi
BPM hebu jaribu kumbana Rocky labda yeye atasema alikuwa na strategy gani wakati anaoa maana mimi ananikimbia mmaswali yangu lol
 
BPM hebu jaribu kumbana Rocky labda yeye atasema alikuwa na strategy gani wakati anaoa maana mimi ananikimbia mmaswali yangu lol

TF mikakati yangu iko zaidi kwenye kutunza ndoa yangu na kwenye uchumba sikutumia nguvu nyingi maana nilijua ni kitu cha muda
Ila muda wangu mwingi nautumia kuhakikisha kuwa naitunza ndoa yangu
 
BPM hebu jaribu kumbana Rocky labda yeye atasema alikuwa na strategy gani wakati anaoa maana mimi ananikimbia mmaswali yangu lol

hahahah finest .. rocky ameshasema hutumika nguuvu nyingi na mtu akishaoa kila mtu na lake ..
 
TF mikakati yangu iko zaidi kwenye kutunza ndoa yangu na kwenye uchumba sikutumia nguvu nyingi maana nilijua ni kitu cha muda
Ila muda wangu mwingi nautumia kuhakikisha kuwa naitunza ndoa yangu

mikakati yako ikoje katika utunzaji?
 
mikakati yako ikoje katika utunzaji?

BPM na wwewe umeanza uchokozi wako eeehhh
Nishasema leo ni weekend sina muda wa kijibu maswali magumu
na kama ni mtihani wenu andikeni zero kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…