The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
- Thread starter
-
- #61
Kwahiyo Rocky kwenye uchumba haina haja ya kuwa na strategic plan yenye nguvu nyingi??TF mikakati yangu iko zaidi kwenye kutunza ndoa yangu na kwenye uchumba sikutumia nguvu nyingi maana nilijua ni kitu cha muda
Ila muda wangu mwingi nautumia kuhakikisha kuwa naitunza ndoa yangu
finest naona ukwepaji wa maswali kwa rocky ngoja tusimbane tusijetafutiwa RB
Kwahiyo Rocky kwenye uchumba haina haja ya kuwa na strategic plan yenye nguvu nyingi??
Mkuu naomba unifafanulie hapo kidogoKuwa na plan ila usitumie nguvu nyingi kumaintain upendo
Kama halipo ni kwamba hata ulipake asali na mafuta halipo tuu TF
Utajitahidi weee kuupendezesha mbuyu kwa mategemeo kuwa utaupasua mbao ila matokeo yake utapata mti wenye nyizi nyuzi tuu haufai kwa mbao
Unajua BPM ndoa ni raha ukiipatia na ukiielewa na ukiwa na mtu ambaye anakuelewa
Ni raha kama mtakuwa mnaenda kwenye the same target na kama mna nia ya kulifikisha gari lenu kwenye the same destination
Huwa hutumii nguvu nyingi kukuhakikishia kupendwa wala hutumii resources nyingi kukuhakikishia ndoa yako inadumu
just maneno matamu na vitendo kiasi
na hata kama vitendo vinaambatana na zawadi kidogo huwa ndoa unaiona raha yake
tatizo ni pale unapotumia nguvu nyingi kutafuta kupendwa wakati pendo lenyewe halipo au kutumia resources zako ntingi kutafuta kupendwa wakati ushapoteza upendo huo zamani
I wonder what goes in The Finest mind his topic are always very challenging
Mkuu naomba unifafanulie hapo kidogo
naamini mikakati mikubwa ambayo naamini mkuu inatakiwa iwepo ni kamaetc
- kusikilizana
- kusameheana
- kuelewana
- kushauliana
- kuridhishana
Umeona eehhh
tena weekend kama leo unaleta topic ngumu hivi
Unajua tunatumia nguvu nyingi na resources nyingi sana wakakti wa uchumba yaani unajikuta mwanaume unajikamua balaa kuhakikisha kuwa kila anachohitaji mchumba apate
Wakati mwingine hatuna mategemeo kama huyo huyo mchumba ndio atakuwa mke maana wengine wanaishia kuja kuoa watu ambao hawakuwahi kuwatamkia kuwa wataishi pamoja
So ni better kuwa macho kujua kuwa je hizi nguvu na resources ninazotumia kwa huyu mtu je ni za real life au ni life la mpito
tena weekend inakuwa ni sahihi kwani unatakiwa ukitoka hapa mmu unaenda kurekebisha kwani kuna mambo utakuwa umeyapata
Aisee!!! Kuna kitu umenikumbusha hapo, halafu hivi inawezekana Strategy yako ikaangukia kwa wrong personUnajua tunatumia nguvu nyingi na resources nyingi sana wakakti wa uchumba yaani unajikuta mwanaume unajikamua balaa kuhakikisha kuwa kila anachohitaji mchumba apate
Wakati mwingine hatuna mategemeo kama huyo huyo mchumba ndio atakuwa mke maana wengine wanaishia kuja kuoa watu ambao hawakuwahi kuwatamkia kuwa wataishi pamoja
So ni better kuwa macho kujua kuwa je hizi nguvu na resources ninazotumia kwa huyu mtu je ni za real life au ni life la mpito
huwezi kuwa na plan bila utekelezaji na utekelezaji ni nguvu na muda
Aisee!!! Kuna kitu umenikumbusha hapo, halafu hivi inawezekana Strategy yako ikaangukia kwa wrong person
Truth to be told, for you to find love or to be found by love, you have to strategise, Even after you have found love , or after love has found you, you also need to strategise to keep it. Almost everything in life requires some form of strategy.
Najua humu ndani kuna members ambao wameoa na kuolewa sasa ningependa kusikia kutoka kwao na uzoefu wao "Did they have any strategy for getting married"? kwa maneno mengine naweza kusema "For those of you that are married, what was your strategy for getting married"?.
Na wale ambao hawajaoa au kuolewa.....Do you have any Strategy for getting married?
haya mkuu ila sasa kujibu maswali yake inakuwa issue ni magumu mno
Kwahiyo mkuu in other words unamaanisha kwamba tukiwa kwenye mahusiano tusiwe na strategies zozote zile?...the road to the unknown!...
...mikakati aka strategies kwenye mapenzi hazi apply, unless kwa makusudi kabisa unajitafutia magonjwa ya mlipuko.
Sawa ila sio nguvu zako zote unaelekeza kwenye kuukumbatia mbuyu wakati u know kuwa hutaweza