What Is Your Strategy?

Wewe ni bwana 'perfectionist'....
Mi nakushangaa mbona ukayaanzishia na mjadala.....
Hehheee kaka, its all good bana acha wajuvi wadadavue. Mi najionea poa tu
. Mm ninhekushauri just be yourself.....
Lol! Dada nataka nisikilizie upande wa pili naona watu wamekuwa wakiruka
 
Hahaha! Mbu dah, soulmate nae ananiambia maswali yangu sijui huwa nawaza nini

....usijali bro,...la msingi fata mkondo mapenzi yanavyokupeleka---ila, ishi within your principles---
sio anatokea mlimbwende anakuyumbisha mpaka hujitambui tena...

...jijengee mpangilio na maendeleo ya maisha yako, hususan malazi, kazi (career), na afya yako...
haya ya mapenzi mnh,...unatafuta stress tu za ajabu ajabu..
 
TF oa bana kama hujaoa, achana na mambo ya strategy bin mkakati afterall strategy involves thinking na kwenye kupenda bongo huwa inakwenda likizo,upo hapo Mkuu? it is the heart which loves not the brain.
 

TF i guess we share some stuffs mpka ukauliza swali kama hili.
Well, me cjaoa. lakini me pia hua najiuliza "is there anything 1 can do to be in love"??
hua najiuliza hivi simply kutokana na uelewa na tafsiri yangu on "love"
kua, love is noo descisional, its automatic, yaani kama hujafeel basi huafee na huwezi kufanya chochote
ili ufeel. ila hutokeatu mtu unajikuta unafeel bila kuamua.
So, kujibu swali lako. Ili uoe, to the best of my understanding and even feelings;
lazima uwe na mtu unaempenda kwa dhati.yani moyo, akili na mwili wako vimpende bila shaka. yoyote.
kama huyo mtu hayupo hata ukitamani kuoa hutooa. tofauti na ukiwa nae,
ata kama hujaplan kuoa at that time waweza jikuta umeoa.
kwa maana hiyo basi, kma hujafall inlove huwez kua na strategy ya kufall hivyo huwezi kua na strategy ya kuoa.
lakini pia kama umefall unaweza kua na strategy.
Hivyo nahitimisha kua kuoa ni suala la kihisia zaidi ambazo unaweza kuziwekea mipango ya kuzitekeleza
zaidi ya kua ni suala la kimipango zaidi ambalo unaweza kuliwekea hisia.
 
Mbu nimekupata vizuri loud and clear mkuu ni kweli haya mambo huwa yana stress za ajabu sana you can imagine sana
 
Tasia umeongea mambo mengi ya msingi sana naweza kusema ni kweli inawezekana kuwa we share the same thing
 
TF oa bana kama hujaoa, achana na mambo ya strategy bin mkakati afterall strategy involves thinking na kwenye kupenda bongo huwa inakwenda likizo,upo hapo Mkuu? it is the heart which loves not the brain.
Hahaha! Bishanga mkuu sijaoa ila nitaoa mkuu
 

Strategy for getting married? I'm lost in the woods!!
 

Kabisa mkuu naona anajitengenezea strategy zake mwqenyewe kukaa na mchumba. Sasa humu kashapata mbinu kutoka kwa MMJ1, AshaDii na kwako na Rocky anapata kila kitu
 
Mkuu leo naona unaambaa na mimi lol sina strategy bana najaribu kuangalia upande wa pili wa hii kitu

Upande upi huo mkuu. Maana wala usitegemee kila kitu kitaenda the way unavyopanga iwe. Ni kwamba hakuna formula maalum ni wewe tuu utakavyoamua kujipanga
 
may be i should quit venturing into marital punditry coz i ain't got the credentials...lol

what say you mr. Brother-man from the motherland?

ha haaa its not about credentials..
Its about taking the risk and put up with all the garbage that comes with it...
Can you?
I believe marriage is not for everyone....so maybe not for you too...lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…