Where is our jirani president......????
Mbona Kenya hamtumii nguvu nyingi lakini mambo yenu yanasonga...
Does it mean you are sorounded with intellectuals than...,or its the matter of priorities....
Aisee Kenya wametuzidi sana akili na ujanja, itakuwa sababu ya kula kamongo
Hebu muachage ujinga kidogo ninyi watu!!
Tanzania ipo macho tupo macho
wakenya waambieni waweke faida hapa za moja kwa moja,
Tanzania hapa someni Vizuri
Mkutano wa One Belt One Road umefunguliwa leo na Rais wa China Mhe Xi Jinping. Mkutano huo unahudhuriwa na Wakuu wa Nchi 20..na Mawaziri 100.
Tanzania inawakilishwa na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhe Prof Makame Mbarawa.
China imecommit usd 600Billion kwa ajili ya uwekezaji around Silk Road route countries. Kutoka kwenye mkutano huu kuna habari njema mbili kwa nchi yetu. 1)
Kesho Tanzania na China zitasaini Mkataba wa kufungua soko la China kwa bidhaa za muhogo kutoka Tanzania.
Hii ni fursa kubwa kwa wakulima wetu na wawekezaji wa viwanda cha kuprocess muhogo kuzalisha bidhaa mbalimbali. . 2)
Habari njema ya pili.....kesho utasainiwa Mkataba wa joint venture ya two largest cement manufacturers wa China-SINOMA na Hegya kujenga Industrial Park na kiwanda kikubwa cha cement mkoani Tanga.
Kiwanda hicho kitakapokamilika kitazalisha ajira 4000 na kuzalisha tani milioni 7 za cement kwa mwaka ambazo asilimia 60 itakuwa exported nje kwenye ujenzi wa miradi mbalimbali ya ujenzi wa miundombinu under One Belt,One Road.
Kutokana na uwekezaji huo Mkubwa, Mkuu wa mkoa wa Tanga Mhe Martin Shigela amealikwa pia na Serikali ya China kushiriki kwenye mkutano huu wa OBOR
shakilakaniki