Annuity
JF-Expert Member
- Dec 17, 2013
- 338
- 198
Universe tunaambiwa ina kila kitu tunachoweza kukiona, kukisikia na sayari zote kubwa tisa na nyingine ndogo zote zipo kwenye hii universe, nyota zote na alliens wote tunaambiwa wapo kwenye hii universe. Sasa nje ya hii Universe kuna maisha mengine yanaendelea huko? Au kutokana na kuwepo sayari zaidi ya moja kuna uwezekano wa kuwepo universe zaidi ya moja? What lies beyond this observable universe?