What made you end up cheating?

Najua inaweza kuonekana kama chai

Lakini hadi sasa sijawahi kucheat
Sijawahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanaume wawili kwa pamoja
Na huyu ndie mwanamke naemhitaji sana kwenye hii maisha, nikishaona dalili za kupangwa foleni huwa najua kabisa hapa si salama na sistahili kuendelea kuwepo.

Mnapatikana wapi?
 
To me it always happens unplanned....

Yani nilishajiambia naacha lkn wapiii...

Head count yangu hata haielezeki...

Mwaka huu nilijiambia nauanza kwa kutulia, ila kuna ki intern nimeflirt nacho tu kidogo tayari kikalainika, nakiambia twende tukachill mahali kinaniambia hakitoki labda niende kwake.

Sasa mm ni nani mpaka nikatae kumbless mtoto mzuri? Na kalivyo kazuri!!!

Kwa kweli kwa sisi wanaume, huwa hatucheat bali tunatekeleza nature ilivyo tu, maana ndivyo tulivyoumbwa!!
 
Na huyu ndie mwanamke naemhitaji sana kwenye hii maisha, nikishaona dalili za kupangwa foleni huwa najua kabisa hapa si salama na sistahili kuendelea kuwepo.

Mnapatikana wapi?

Watakuwepo waaminifu,wenye kujiheshimu,msimamo na upendo wa kweli
Lakini sijui ni wapi kwasababu hata marafiki zangu wachache nilionao najua hawana mwanaume mmoja...ni mimi tu nilikuwa naonekana wa ajabu kwa upande wao kuwa na mwanaume mmoja
 
Hongera zako kwa kujiheshimu, upo kwenye level ya juu kabisa ya kujiheshimu na kumheshimu mwenza wako. Perfect 😘
 
Basi wewe ni namba 2 mkuu🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…