MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,565
- 843
Binafsi nim-consider mwanamke kuwa ni perfect for me kama ana sifa hizi: mwelewa, ambaye hatakuwa mzigo kwangu kiuchumi na hata kimawazo, mkarimu, mwenye upendo wa dhati na kubwa zaidi asiwe mtu wa kulalamika na kulaumu laumu hasa kwa mambo madogo..
Unapo sema mzigo kwako una maanisha una taka mwanamke anaye weza kujikim kimaisha au una maanisha una kwepa wale wanao penda pesa na starehe kupia kiasi?
I have a problem with the premise of your question which assumes that there are certain qualities that make a perfect man and woman? Then you go on and contradict yourself by saying "I know nobody is perfect". Now, if you already concede that none of us (people) are infallible then why go ahead and ask "What makes a perfect man/woman?"
Mkuu hapo namaanisha aina ya wanawake ambao hata kama ana pesa zake bado anakuwa na ile kasumba kuwa mwanaume ndiye mwenye wajibu wa kuhudumia familia, yeye pesa zake zinaishia kwenye vipodozi na mambo mengine binafsi ambayo hayana msaada kwa familia..
Thats why I asked what makes a perfect man/woman for an individual. No body is perfect in the sense that what is perfect for you is not perfect for me. It's all about individual preference.
Still..if you you concede that nobody (which to me it means not anyone; no person) is perfect then how can there be one that is perfect for an individual? Isn't that "individual" part of the "nobody" is perfect group? Just trying to get it straight here...
So NN what do you like about your girl and what don't you like?
Hakuna binadamu ambaye yuko perfect duniani. Cha muhimu ni kuangalia zaidi yale unayoyapenda katika mwanaume au mwanamke huyo na yale mapungufu yake ukayakubali na kuyavumilia (kama unaweza kuyakubali na kuyavumilia) kwamba ni mapungufu ya kibinadamu, kama inawezekana mkayafanyia kazi mapungufu yale ili angalau kuyapunguza.
Hey M, for me the first thing is intelligence
I like this one. But what about things like respect? You know some men don't respect women and treat them like "second class" citizens. Unalionaje hilo? Mtu anakua intelligent but zero kwenye kutreat a lady.
Yea, M, I said that's the first. But true intelligence will carry along many civilized things like respect, good manners, a good heart
As for me what I would look for in a woman first is self respect. A woman who can respect herself in every way. Because these days naona madada zetu wengi sana mh they are just doing things to please the crowd.
This's very true, and if respect yourself well, you'll obviously respect others too.