Aina moja ya karimani ni hii. Haya tunasubiri mchango wako.
What makes us Tanzanians? Nini kinatufanya sisi kuwa ni Watanzania?
Is it the certificate? Je, ni cheti, cheti cha kuzaliwa, hati ya uraia?
Is it because of our parents citizenship? Je, ni kwa sababu ya uraia wa wazazi wetu?
Is it the language we speak or the color of our skin? Je,ni kwa sababu ya lugha ambayo sisi tunazungumza au kwa rangi ya ngozi yetu?
Are we barely inhabitants or actually making our difference in our mother land? Je sisi ni wakaazi tu au kweli tunachangia ukuaji , maendeleo katika/ ya nchi yetu?
It seems Tanzanians are sleeping and we are just Tanzanians by name and tradition. Inaonekana watanzania ni watu wa kulala tu na kuwa sisi ni Watanzania kwa jina tu na mila, utamaduni wake.
Let us remember the words from JFK's inaugural speech: Ask not what your country can do but what you can do for your country. Tukumbuke maneno kutoka hotuba ya uzinduzi wa JFK: Usiulize nini nchi yako itakufanyia lakini ujiulize nini wewe unaweza kufanya kwa ajili ya nchi yako.
What are we doing for Tanzania? Tufanye nini kwa ajili ya Tanzania? Nini tutafanya kwa ajili ya nchi yetu?