What next for Kenya? tayari wazungu wanauliza, Ruto bye bye!

What next for Kenya? tayari wazungu wanauliza, Ruto bye bye!

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
7,093
Reaction score
10,469
Ruto alijichanganya mwenyewe, he is the only African leader ku jiingiza rasmi kwenye ugomvi wa nato vs russia, china &co., Ruto alicondem rasmi live kwamba Russia ni aggressor, ruto alipewa status ya the most important ally of the US out side nato members ni defacto nato lkn member ambacho labda hakukijua ni kwamba alikuwa ni adui wa Russia, China na BRICS lkn kenya anadaiwa 6 billion USD na China halafu unadeclare vita na mtu anayekudai? kosa kubwa, he is got to go, btw tanzagiza mkae mkao wa kula kenya ni experiment hiki work you are next.

Walalahoi wakijisevia msosi kwenye canteen ya bunge la kenya walilovamia.


View: https://x.com/KinyanBoy/status/1805576433168679255?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1805576433168679255%7Ctwgr%5Eb607d929905800c328de0fb506b2b1370ac4f5c9%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=https%3A%2F%2Fwww.zerohedge.com%2Fgeopolitical%2Fkenya-protesters-storm-parliament-police-fire-live-rounds-after-lawmakers-unleash-eco
 
Finally, this makes a lot of sense.

Watu wanauliza nguvu ya hao Genzies wa Kenya inatoka wapi? Raila, Uhuru au Russia?

Juzi Putin alisema ameanza mkakati rasmi wa kuithalikisha Marekani kupitia kulenga amana zake mbalimbali duniani.

Kule kwa Wahuthi anaelekeza makombora ya kisasa dhidi ya Israeli na maafisa vimbelembele wa Marekani ughaibuni.

Burkina Faso alishamalizana na Ufaransa.

Congo, walikokuwa wamejaa majeshi ya Umoja wa Mataifa maarufu kama MONUSCO, kuna mitifuano si ya zama hizi.

Huku Tanzania sasa ndiyo usiseme kabisa. Russia amesababisha hadi Msigwa kuitelekeza CDM, Lissu kumkimbia mwenyekiti na Kidata kung'olewa TRA!🤣
 
Back
Top Bottom