Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Hii ilikuwa ni kama last bullet yao wakitegemea kwamba wangemaliza kabisa lkn imebumu, Mwamba ni maarufu kuliko hata alivyokuwa hai, sasa nini kinakuja? Watafanya nini tena kama wamekwenda mpaka White House USA kujaribu kupambana na Mwamba lkn bado wameshindwa, nauliza what comes next ? Haijawahi kutokea katika Historia ya Dunia hii Raisi wa nchi huru anakwenda kumuongelea vibaya raisi aliyekwisha fariki Dunia, tena siyo kwa mafumbo bali live akitaja jina akitegemea labda Dunia nzima ingempongeza, lkn wapi hakuna hata anayemjua, hata hapo Kenya tu hakuna aliyeripoti chochote.
Nauliza what is next ?
Nauliza what is next ?