Kwenye hiyo ripoti, kuna mambo mengi na mazito. Yaliyosemwa Bungeni siyo yote yalikanushwa na serikali ya Uingereza and hence tunaamini yalikuwa na ukweli. Kuna watu wachache wanaweza kutuambia kuhusu suala hili:
a. Rais Mkapa (huyu kasema kashastaafu siasa, so he is out)
b. Rais Kikwete (kasema Mkapa asihojiwe na yeye mwenyewe anadai hakujua BAE siyo kampuni ya serikali hadi akataka kuomba chenji)
Na wengine ambao walihusika moja kwa moja na ununuzi.
Utaona kuwa tulipewa ofa ya rada nyingine ya kisasa na yenye kukidhi mahitaji yetu tena kwa bei ya chini zaidi tukakataa tukidai "we are a sovereign nation".... why? Mbunge wa Uingereza anasema "I don't want to go that road.."..
Richmond, IPTL, na vingine ni watoto tu wa mikataba mibovu, hili la Rada ndio mama lao/baba lao!
Note: huyu ndugu anayetaka nitafsiri neno kwa neno kwa Kiswahili isije kufata atataka niwasomee pia ripoti nzima kwa vile kuna watu hawajui kusoma na kuandika!