namba 6 {Holding midfielder)
kwa mifumo ya kisasa namba 6 anateseka sana, na kama timu ina namba 8 mzembe kukaba utateseka Sana.
Namba 6 anacover half yake na anatakiwa kucontribute kwenye mashambulizi half ya timu pinzani.
Sio ajabu kumuona namba 6, yupo kwenye namba 3, 4, au 2 au namba 8