What school lunches look like arround the world

Nadhani ni rahisi hasa kwa watoto kwenye lunchbox ikiwa na some sort of mkate,matunda tofauti na some veges kama fresh carrot slices,cucumbers,red paprika,salad na cherry tomatoes.Mi mwanangu namuwekea na ready made portioned fruit yoghurt ndo inakuwa dessert lol....
 











Hizi ni lunch au dinner, mbona vingi sana kwa lunch?!
 
nchi zilizo stawi kiuchumi wana umakini sana kwenye swala la school lunch. Nilitoa uzi mwingine kuhusu hii awali na kilicho wazi ni kuwa kuna baadhi ya nchi humu duniani- hasa za kiafrika- wanafeli sanaaa,mtoto umleavyo ndivyo atakuavyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…