What should I do to get more likes in JamiiForums?

second option......
 
Just talk some sense. Hayo mawazo tu ya kuwaza kupata like sioni kama yana msaada kwetu. Tuchangie nini kwa mfano.
 
Wanaojifanya hawazifagilii like humu ni wanafiki tu.hata hao mods wenyewe utureward trophy inapotokea umepata like nyingi tena ukukusitiza uendelee kupost in order to get more trophy.mleta mada anahitaji ushauri afanyaje ili apate like nyingi,tuachwe kutokwa na mapovu kama tumekunywa viroba vya magendo.tumshauri tu wakuu
 
Jiunge na makapuku,kule kuna likes za kumwaga.
Hii inadhihirishwa na wanaoongoza kwa likes humu (list) wengi wao ni makapuku.
 

Kumbe watu wa kaskazini ndio wengi humu?
Heheeeee
Kaskazini hoyeeeee
cc my hommies Transcend miss chagga FisadiKuu kiwatengu Compact QUIGLEY n.k
 
Showing that I'm left by some one...??

Ama kweli malkia wa Uingereza ulituachia donda Ndugu, twafwaaa.
 
Yataheshimiwaje mawazo yake ikiwa kashawaita member vichwa vya nguruwe..!? (pighead)
 
Kumbe watu wa kaskazini ndio wengi humu?
Heheeeee
Kaskazini hoyeeeee
cc my hommies Transcend miss chagga FisadiKuu kiwatengu Compact QUIGLEY n.k
Sio wengi ila ndo watu wenye juhudi kubwa ya kukomenti kwenye mitandao ya kijamii, nadhani sababu kubwa wengi wao wanakuwa madukani tu, kwenye grocery, vijiwe vya kitimoto na mabaa kwahiyo wanaweka juhudi kubwa ya matusi mitandaoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…