What the Man think the most!

Si kweli..........mi kalibia wiki nzima hii nilikuwa nawazi nilini mtoto wangua atapona.........
si dhani mtu kama OSAMA anahuo mda...........my be tu sema asilimia kubwa ya mawazo ya mwanaume na si 100%........

sawa mkuu......
 
Na hapo mwanzo lilikuwepo Neno, nalo neno .................................... siku ya saba akaumbwa Binadamu ............ naye akapewa usingizi mzito na kunyofolewa mbavu moja ambayo ndo mwanamke! Hivyo ni sahihi otherwise wewe si mwanaume bali mtoto wa kiume!
 
Mayor quimby kumbe huwa unakwenda Rumors! bado hawajaibomoa tu?
 
Mayor quimby kumbe huwa unakwenda Rumors! bado hawajaibomoa tu?

Ni katika pitapita zangu za hapa na pale mkuu nikakutana na hili wazo somewhere nikaona niwashirikishe
 
Mayor quimby kumbe huwa unakwenda Rumors! bado hawajaibomoa tu?
Ni katika pitapita zangu za hapa na pale mkuu nikakutana na hili wazo somewhere nikaona niwashirikishe<!-- google_ad_section_end -->
 
Kwa mwanaume anayewaza jambo hilo zaidi ya mambo mengine atakuwa hana 'urijali'! Kama, mke ni wako kwa nini umchungulie wakati wa kuoga? Great thinkers wangesema 'muda mwingi mwanaume anawaza atoke na nini kesho ili aache jina kesho kutwa'! Mwanaume wa ukweli anatoa priority kwa vitu ambavyo 'hakuzaliwa' navyo!!
 
Siyo kweli, labda ungesema What Most Men Think. Ulivyoiweka unamaanisha wanaume wote wanawaza hii kitu muda mwingi. Kama ulipitia JKT(Jeshi la Kuharibu Taalamu) enzi hizo utakubaliana nami kuwa siku za mwanzo za recruitment (kuruta) unaweza kupitisha miezi mitatu bila kuhisi charge huko kunako kwa sababu mawazo hayapo kabisa huko.
 
halafu siku mliyokuwa mkiachiwa baada ya kuhitimu kitu cha kwanza kabisa kilikuwa ni nini?
 
mh wadau acheni kujidhalilisha wanaume hatuwazi ngono kiivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…