What they call it a constant is not constant!

Hili ni suala la kiimani zaidi, kumbuka hata ulimwengu wote na vitu vilivyomo viliumbwa kwa Imani. Suala la Wanasayansi kufanya assumptions wakati wanapokuwa wana-create vitu wanakuwa ndani ya misingi ile ile ya imani. Kila kitu unachokifanya maishani mwako ili kiweze kutokea ni lazima ufanye assumptions ili kiweze kutokea kwa maana nyingine ni lazima ufanye kitendo cha Imani ili kitokee.

Mf. 1.Ukitaka kusafiri ili uweze kufika sehemu unayotaka kwenda lazima ufanye contant assumptions kwamba kama gari haitapata ajali, haitaharibika utafika salama, 2.Unafanya biashara lazima uweke assumptions kama utapata wateja, hutaibiwa, utatengeneza faida,3. Ukipanga mipango yako ya kesho, mwezi ujao au miaka ijayo lazima uweke assumption kama MUNGU akipenda ukawa na uhai utaifanikisha mipango yako, n.k, n.k.

Wanasayansi nao wanapofanya assumptions kitendo cha Imani ili kufanikisha yale wanayotarajia kuyaona. Hakuna utakachoweza kufanikisha katika maisha kama hujaweka assumptions( constant )
 
Is the speed of light in a vacuum (c) a constant or not?
The speed of light in a vacuum(c) is not a constant. Is the particle of light,the photon do not have mass? where is the vacuum?
 

Mkuu nakushauri hiyo Paragraph ya pili kutoka mwisho uiondoe, ina mapungufu makubwa sana ambayo yanaweza kusababisha hata hayo mazuri unayoelezea kuhusu sayansi yadharaulike, kwa sababu hiyo sayansi ni design of God, na hivyo viassumptions vyenu mnavyovifanya ni kwa sababu ya ama kukosa ufahamu wa kuvioncorporate kwenye formula zenu au huwa mnavifanyia reference kimakosa, lakini God know them ALL.

Kumbuka mnafanikiwa kuyafahamu na kuunga unga tu lakini hamna uwezo wa kutengeneza kitu chochote kile. sasa unapoanza kuchallenge credibility ya maandiko ya Mungu nashindwa kukuelewa.

Toa hiyo paragraph utupe fursa wengine ya kuendelea kufaudu uelewa wenu mzuri juu ya sayansi.
 

Wahasibu tupo hapa. Hiki kitu unaita balancing figure, nakushauri ukiondoe kwenye text yako, Nimesoma vitabu vingi sana vya accounting theories and princiles hakuna sehemu mhasibu anashauriwa kuweka balancing figure, naomba uiondoe sababu kwanza ni uongo na pili unashushia hadhi ya CONSTANT inayojadiriwa hapa.
 
naona unaiponda sayansi kwa halii na mali na ndo imekuwezesha kutu postia mawazo yako mgando hapa!
 
Nadahani sina cha kuongeza hapa, majibu waliyotoa wenzangu yanatosha. Huzuni yangu ni jinsi mtoa swali anavyoonesha kuwa na upeo mdogo kwenye maswala haya. Hata hivyo naamini nia yake ni kuelimishwa na kwamba ameelimika vizuri hapa.
 
Ebhana umenikumbusha pindi niko Iyunga Tech a-level, maneno assume, neglect, constant na negligible yalikua yametawala in physics. I would buy that idea that we use assumptions just to simplify life but in real life they ain't make no sense.
 


Well said dude!!
Sina cha kuongeza kwani umejibu na kujaribu kumwelewesha vizuri sana ila pia inawezekana huyu jamaa hajui maana ya maneno "constant" na "assumption".

Lakini pia namshauri ajifunze kuhusu models and modelling itamsaidia kuilewa science and scientifi assuptions; kwani hizo formula anazoelezea ni models zinazotumika kusolve real life problems na watu maisha yanaenda-wanapata magali, ndege meli, maghorofa hata viti anavyokalia nk vyote vinaanzia kwenye ideal models to real things. kwa taarifa yake "SCIENCE IN THE ONLY REAL DISCIPLINE"
 
we mwongo wewe katika fluid mechanics hakuna PV=nRT....labda ungesema kinetic theory of matter au Thermodynamics usitudanganye toka hapa!
 
penda mijadala kama hii inatufungua macho ila tusitukanane ila tuelimishane ili kutoa ujinga hii italeta maana kwa great thinkers
 
we mwongo wewe katika fluid mechanics hakuna PV=nRT....labda ungesema kinetic theory of matter au Thermodynamics usitudanganye toka hapa!

ipo, hata mimi nimeisoma mwaka wa pili chuo!
 
The speed of light in a vacuum(c) is not a constant. Is the particle of light,the photon do not have mass? where is the vacuum?

Is the photon a particle at all?
 
Can you prove that parallel lines never meet?
 
Or that cancer is a non infectious disease.
 
Ther real question here is not that "ceteris paribus" is not practical.

The real question here is, is anything knowable beyond any degree of doubt?

The process of knowing itself interferes with the knowability of the item under observation, how can we know anything beyond any degree of doubt?
 
CONSTANT VARIABLE! in fizikia mfano gravitational constant varying inverse proportion to square of distance between point masses! My word.
 
we mwongo wewe katika fluid mechanics hakuna PV=nRT....labda ungesema kinetic theory of matter au Thermodynamics usitudanganye toka hapa!

Duh wewe mshikaji hapo sikuelewi, Fluid Mechanics itakosaje PV wakati P - pressure, V- Volume, T- tempereture, sasa unapoongelea Fluid utaachaje kuogelea Pressure au tempareture? utawezaje kuandika au kutafiti tabia za Fluid bila kuhusisha Temperature au Volume na Pressure?

Unasema labda kwenye kinetic theory, unaelewa kinetic theory inaelezea nini haswa? utatenganisha vipi Kinetic theory na Fluid?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…