What they call it a constant is not constant!


There is a saying thet in LIFE A TRUE CONSTANT IS CHANGE ITSELF! Mimi naamini msemo huu, kwa vile hakuna kitu kilichokuwa constant.
 

Naomba nikuulize swali dogo sana kama kweli umeilewa "Ideal gas Modell" naomba nielezee kwa kifupi, halafu ndio tuanzie hapo, achana na mambo mengine hayo ni complicated sana, wacha tuanze na "Ideal Gas Modell" kwa maana ndio msingi wa hayo yoote ya huko mbele, hiyo ikikaa sawa basi huko kutakuwa hamna shida!
 

"Ideal gas model" betrays something that is not necessarily practicable.

Something that is more intellectual than practical, like infinity, understandable as an idea, but not provable practically.

The words "ideal" (rooted from idea, not necessarily tangible or experimentally provable) and "model" ( representation, standard, image, not the real thing) betray a superficiality that cannot be ignored.

Kwa hiyo tunarudi pale pale.Vitu kama "idea" na "model" vinazunguka katika assumption.

Uzuri wa sayansi si kwamba unapata picha iliyo sawa 100%. In fact ukiielewa vizuri sana sayansi utaelewa kwamba inakataza 100% accuracy isiyo na qualification. Kwa sababu process ya kupata accuracy ina interfere na results (quantum theory). Kuna mkuu kasema hapo mwanzo kwamba migogoro ya dunia haiwezi kuisha kwa sababu watatuzi wa migogoro wanakuja kuwa sehemu ya mgogoro (Lakhdar Brahimi anyone?).

Vipimo vya dunia haviwezi kuwa 100% accurate kwa sababu process ya kupima inachukua information from kile kinachopimwa, at the very least you will have to look at the measured entity, which means taking photons from it and altering it. Moreover quantum theory has it that an object does not have an absolute value at any particular time, and relativity has it that the very concept of "a particular time" is borne out of the poverty of our large scale and inaccurate view of the universe.

That just as there is no particular hour on the earth (dicounting artificial connivances such as the GMT) there is no Newtonian clock chiming for the entire universe and time is relative to position, speed, the curvature of space, gravity etc. There is no absolute "now".

Uzuri wa sayansi ni kwamba inatupa tools za kuboresha calibrations zetu kuelekea that asymptotic 100% perfection.

Reaching 100% perfection is as impossible by our current scientific knowledge as reaching the speed of light for any massive particle, the more you approach the speed of light the more the particle's mass approaches infinity. If the particle could achieve the speed of light it would require the energy of the universe and then some, and the Lorentz transformation to allow that is an uncancellable singularity.So this remains a Selassian asymptote to be pursued, but never attained.

That's why we don't know anything, we don't even know for sure that we don't know anything if you want to apply that 100% certainty, everything carries a margin of error.

Science's job is to reduce that margin as best as we could.

Thanks to the large scale structure of the physical world we do not need 100% accuracy to build a skyscraper or make a jet, because if that was the threshold, we wouldn't be able to walk due to some minuscule quantum pertubations whose probability is 1 in a googolplex of googolplexes of Graham's numbers.
 

Nafikiri umekwenda mbali kidogo, lengo la mimi kumuuliza mtoa hoja aliyeuliza kuhusu constant, na baada ya kusoma posti nyingi nimegundua kuna matatizo ya uelewa wa vitu basic kabisa kama Temperature, Pressure, Atoms n.k ambavyo vinahitajika ili kuelewa vitu advanced kama Photon theory etc na mtu akielewa Gas Model theory vizuri hawezi kupata shida kuelewa ni kwa nini kwa mfano ukichukua the equation of state pV=nRT saa nyingine wanasema baadhi ya variable ziko constant au kwa nini ni muhimu ku consider T au Pressure au Volume constant, lengo hasa ni nini, kama mtu akielewa hapo basi nafikiri hatopata shida huko mbele hayo mambo ya Quantum theory are way too advance for this Forum at least kulingana na uchangiaji wa watu wengi humu!
 

Mzizi hapa ni "lengo hasa nini".

The difference between Applied Math na Pure Math.

Ukitaka kujenga ghorofa unaweza kutumia hesabu zisizotaka 100% acccuracy.

Ukitaka kujua kama ulimwengu unafuata kanuni za hesabu kwa 100% huwezi kutumia zisizotaka 100% accuracy. Not apart from a convergent phase based approach anyway.

Kwa hiyo, sayansi inatusaidia kuunda jet bila kujua hesabu za 100% accuracy, tunaishukuru kwa hilo.

Inatupa udadisi wa kuongeza ujuzi wa kuikaribia 100% accuracy huku ikituonya kwamba 100% accuracy ni ndoto tu, haiwezekani kisayansi, kwa sababu kila knowledge ni asymptotic, bongo zetu zilivyoumbwa tu hazi wezi ku process information kwa 1005 accuracy kwa sababu zina physical limitation. Unaposoma maandishi haya huoni kama yalivyo, bali unayaona kama yalivyokuwa katika history kwa sababu mwanga unachukua muda (however small) kutoka kwenye screen yako mpaka machoni mwako.

Na kama hatutaongelea quantum theory tutajuaje kama iko too advanced kwa forum hii au la? Ina maana hatuna watu wawili wanaoweza kuelewa the bare essentials of quantum theory I advanced here?

Kama wewe ulivyotoa habari za Gas Model Theory na kusema kwamba ni msingi mzuri wa kuelewa kwa nini wanasema kuna constant, ndivyo mimi nilivyotoa mfano wa quantum theory kuonyesha kwamba hakuna constant, nothing is absolute, hata muda hauna constancy, hata kinachoitwa vacuum si vacuum.
 

Sawa nimekupata kabisa! nilisema hivyo tu kutokana na kusoma michango ya watu walio wengi na kugundua kwamba kuna gap kubwa kati ya uelewa wa basic theories zinazoelezea nature na more advanced theories kama Quantum theory n.k labda I were wrong!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…