What turns you off?

Prof Griff

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2008
Posts
6,772
Reaction score
5,258
Sura na mwili au uzuri wa macho pekee yake kwa wengi huwa havitoshi. Binafsi, I'm especially turned off by bad breath, and strong odors during sex from females due to poor personal hygiene.

Bora kuwa pamoja na demu mwenye tabia nzuri ya usafi wa mwili, lakini asiyekuwa na mvuto mkubwa sana kimacho kuliko kuwa na demu bomba lakini asiyejijali kiusafi. How about you?
 
mwanaume mwenye kikwapa,haruf mdomon,haruf ya miguu na katikati ya mapaja dah anabore!
 
Reactions: Sal
harufu ya manywele ya bandia na midawa ya kutengeneza nywele
 
mwanamke anaponipigia simu na neno la kwanza anaomba pesa aende saloon
 
Uchafu!aisee kuna watu wananuka hadi unajiuliza the last time kwa yeye kuoga ilikua lini?kwa kweli mtu mchafu na mimi ni vitu viwili tofauti..
 
Binafsi, I'm especially turned off by bad breath, and strong odors during sex from females due to poor personal hygiene.

hivi generation ya odours wakati wa sex nayo inasababishwa na uchafu?
 
Hivi kuna mtu anaependa uchafu? Kuna mtu ananuka hadi unajiuliza anaishije na mwenza wake?
Cleanliness is next to Godiliness. Hata Biblia inasema 'ndoa na iheshimiwe na watu wote NA MALAZI YAWE SAFI! Usafi sio wa mwili tu ila hata wa mazingira.
 
Ofcos kikubwa ni uchafu,utakuta mwanaume mifuko ya suruali yake ni meusiii tii...kwapa limejaa msitu halafu wala hastuki kukunyanyulia..
 
Reactions: LD
yah ur right..usafi kwa wote na sio wanawake tu is a BIG plus
 
utakuta mwanaume mifuko ya suruali yake ni meusiii tii......

ukiona hivi ujue fwedha ipo na cash transactions ziko juu ..... ukiona mifuko misafii ujue hamna kitu hapo, sepa fasta
 
umenena vema shost tena inakeraaaaaaaaaa

utakuta mwanaume soksi anavaa wk nzima bila kubadili,boxa ndo kabisa inarudiwa mpk ichanike. mswaki anapiga cku anaenda kwnye sherehe. nguo kunyoosha issue.nywele hazijali. kule kwngne utadhan rasta farian. kha cwez hta kupoteza dk ya kuongea nae!
 
Ofcos kikubwa ni uchafu,utakuta mwanaume mifuko ya suruali yake ni meusiii tii...kwapa limejaa msitu halafu wala hastuki kukunyanyulia..

dah umenifurahisha sana wanaume wanafuga misitu ya lebanon usipime.
 
Reactions: LD
Kabla hata ya ku sex, sitongozi kabisa mwanamke aliyejikiroga na aliyevaa nywele za "maiti", mfano hai ni huu hapa chini:

Total turnoff:

 
Harufu mbaya ya mdomo, Utafunaji mbaya wa chakula..........mfano kutoa sauti wakati wa kutafuna chakula, michuzi kuchuruzika pembeni mwa mdomo............kuongea huku chakula kiko mdomoni kujichokonoa mapua, meno na mengineyo ya kukera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…