What turns you off?

Sasa tatizo la wadada wa siku hizi kujitanguliza! Enzi zetu mtu anauziwa mbuzi kwenye gunia, akifika anakuta ni mbwa! Utajuaje mchuchu anajua kupika ama la? Kuna mshkaji alimpeleka mkewe veta, manake alternative ilikuwa kumuacha,lol!
Haya yeshe, manake hutaki niende Chinangali

.ninachosema kujua kukaangiza pia kwa Walume wengine ni muhimu sana au mdada anaweza kudodea nyumbani...na pale juu pia uchafu nimeuweka.
 
stephot umeuliza swali la msingi sana, iko hivi ute unaotoka kwenye uke huwa ni hormonal secretions ambazo zina harufu ila huwa haikeri kabisa. Harufu hii tena huwa ni ya kawaida tu kama ambavyo shahawa huwa na harufu. Sasa basi ikitoka binti anaharufu ambayo ni pronounced kiasi cha kukera pana mambo ambayo yapo yamejificha. Mambo haya yaweza kuwa ni ugonjwa hasa magonjwa ya ngono, pia matumiz ya vitu ambavyo siyo sahihi kuviweka ukeni kama vile shabu( alum) hii ina sulphur na inapoingia ndani kama tujuavyo uke ph yakeni nutral so unapoweka hupunguza pH na kwenda kwenye acid na hapa hutoa hydrogen sulphide gas.
kitu kingine ni matumiz ya marashi sehem za siri ni mwiko kabisa kuweka marashi ndani kwenye sehem za siri kwani huishia badala ya kunukia basi hunuka. Udi kama udu wafaa ufukizwe kwenye nguo tu na siyo kuuingiza hadi ndani.

Namshauri mtoa mada kama amekutana na hali hii basi ni vyema ampeleke hosp mwenzi wake atakuwa na infections au pia amwambie abadili life style yake. however usafi ni muhimu sana wa ndani na nje. from bedroom to person herself. Kinadada jiweken safi muda wote.
 
Last edited by a moderator:

Hayo yalikuwa mambo ya mwaka 47 bana!!!...Siku hizi shurti ujue kukaangiza siyo mchuzi nyanya inaelea huku na vitunguu kule halafu chuzi lina rangi kama maji ya mto msimbazi!!!! LOL!....sasa ukiutia mdomoni unaweza kutapika 🙂🙂...We Chinangali nenda kwa raha zako naona unataka sana kuwa jirani na nanihii hahahahahah LOL! Chagua mji basi...nakupa Ntwara 🙂🙂

 
Bad Breath and smell katika sehemu zake....that turn off my me
Demu asiye-respond ! Yaani unashughulika foreplay yeye kakutolea mimacho tuu ! Aiseeh inabore ! Namalizwa na yule ukigusa hapa, karuka, pale kapiga kelele, huku kaguna, kule ndoo kabisaa anakuita !!
 
....uchafu, udokozi, uongo, asiyejua kuweka ahadi, msanii, asiyejua kupika.
Demu muongeaji hovyo, mlalamishi, maongezi yake kuomba omba tuu, wivu wa kiswahili (bifu wakati wowote), mbahili, hatowi zaawadi hata ya soxi !?
 
naomba mtoa mada na stephot niwaweke sawa pamoja na wengine ambao mlikua hamjui. mwanamke kama mwanamke, kule HO (Head office) kuna harufu yake ya asili ambayo haiwezi kuku turn off zaidi ya kukuongezea hamu ya kua na yule mwenzio. iwapo kuna harufu tofauti na ile ya kawaida, basi kuna tatizo either ugonjwa au ni uchafu wa mkusanyiko wa mikojo wa mwanamke anayekwenda kujisaidia haja ndogo bila kunawa au hata kujifuta. unaweza ukakutana kimwili na mwenzio bila kunawa na harufu ha HO ikawa ya kawaida tu kama hua unajiswafi vizuri ukienda haja ndogo.
ni hayo tu wapendwa maana naona hapa ulitaka kulenga kuwa wanawake huwa wana harufu mbaya, kitu ambacho sio kweli. ikiwa wife wako au galfriend ana kiharufu na lazima ajisafishe kabla ya shughuli, basi kuna tatizo. kama si uchafu basi mgonjwa, tahadhari, chukua hatua.


 
wewe mara ya mwisho ulitoa lini zawadi kwa mpenzi wako na ilikua ya kitu gani, maana sio utake kupewa wakati wewe si mtoaji. ndio zenu wanaume wa sasa.

Demu muongeaji hovyo, mlalamishi, maongezi yake kuomba omba tuu, wivu wa kiswahili (bifu wakati wowote), mbahili, hatowi zaawadi hata ya soxi !?
 
wewe mara ya mwisho ulitoa lini zawadi kwa mpenzi wako na ilikua ya kitu gani, maana sio utake kupewa wakati wewe si mtoaji. ndio zenu wanaume wa sasa.

Mie moja ya ugonjwa wangu mkubwa ni zawadi, nikipiga tripu wakati wa kurudi, we mwenyewe utaona raha, pengine nimezunguka Town nikaona kitu simple.......... aaah umepata ! Card kali ndo usisame !
 
mimi kabla hata sijajua kama unanuka au unanukia, but if you cant keep promise and you dont communicate, huna nafasi hata moja kwangu. uchafu of coz ni next to promise and communication.
 
Sal umeona jinsi ambavyo tunaonewa? watu wanakimbilia kuna kama wanawake ni wachafu kumbe kuna mambo mengi sana nyuma ya hili yaliyo jificha. ni vizur sana kama tatizo kama hili lingeangaliwa kwa mtazamo wa kitabibu zaid. Manake pia wapo wanaume wanaonuka sana midomo miguu na pua na huu ni ungonjwa kabisa hasa fangas.
 
Last edited by a moderator:



hahahahaha lol! Erotica...Ngingi hilo linamsubiri mteja 🙂🙂

BAK mimi pia ni mwanamke, ila kaka akioa siwezi mkuta hapo nikatambulisha

rafiki yangu kua huyo ni wifi yangu. nitasema ni jirani yangu tu. teh teh
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK



:bange::msela::cheer2:
 
BAK mimi pia ni mwanamke, ila kaka akioa siwezi mkuta hapo nikatambulisha

rafiki yangu kua huyo ni wifi yangu. nitasema ni jirani yangu tu. teh teh

Hehehe usimkimbie wifi bana!!!! kaka ndiyo hasikii, haoni wala haelewi kwa mchuchu wake 🙂


 
Last edited by a moderator:
Guys Men/Boys you are missing a point here.
Kuna harufu ya Kike (Natural) , do you understand nikisema ya Kike, That smell Drives me crazy, kama Mwanamke hana hiyo to me ni Rubbish
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…