What was my mistake?

Ilikuwaje yeye mwenyewe akakubali mpaka kufika guest house??

Nafikiri Clemmy ametoa maelezo mazuri ambayo yanaweza kujibu swali lako.

 
Unajua hata mimi kuna sauti ya ROHO MTAKATIFU inaniambia kwamba yule msichana bado ananipenda. Hasa kwa sababu hiyo sauti ndiyo inatakiwa kuongoza maisha yetu, then inabidi nikamfuate tena na kumuambia kwamba ROHO MTAKATIFU kaniongoza kufika tena kwako.
 

Kua makini sana usije kukufuru,fanya dhambi zote ila usimkufuru Roho Mtakatifu.
Dhambi hiyo haisameheki kamwe.

Matthew 12:31
"And so I tell you, every sin and blasphemy will be forgiven men, but the blasphemy against the Spirit will not be forgiven."

Yaani,..kwa tafsiri yangu ni kwamba:-
"Hakika nawambieni,dhambi na dhihaka zote zitasamehewa,lakini dhambi ya kumdhihaki Roho Mtakatifu haifasamehewa kamwe"
 
No one knows the hiden mind of women so thanks God for that angalia mambo mengine kama unampenda kweli mwambie kuhusu ndoa kwaheri
 
teh teh!labda aliona dudu kubwa akaogopa na kuanza kulia na hatimaye kukuacha kbs la sivyo yangemkuta ya kumkuta au kukimbia na kufuli mkononi na ndo maana ameamua aachane na wew kbs!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…