What was your most embarrasing moment...?

Nakumbuka one of the days back nikiwa kwenye lecture niliazima memory stick kutoka kwa dada mmoja niliekuwa nimekaa nae karibu humo Lecture, haikua mara ya kwanza yeye au mimi kutumia vitu vya mweniziwe>
Siku hiyo sikua na memory stick yangu na nilihitaji kuhamisha vitu kwenye kwenye latop ya rafiki yangu, sasa badala y akuhamisha moja kwa moja nikaanza kuangalia mafaili yake dah huku Kompyuta yangu ikiwa na sauti ya juu ghafla sauti za maraha watu watu wakifanya mapenzi kutokea kwenye lile faili duuh OMG nilikosa nguvu hata ya kuzima Kompyuta,nikabaki nimelegea mapigo ya moyo yakaenda kasi huku kila mtu akinitazama it was so embarrassing, mpk leo nikifikiria siamini kama kile kitu kilitokea mikononi mwangu dah! nilikoma kuangalia visivyo nihusu.
 
duh hapo unaweza kuomba ardhi ipasuke, umenikumbusha jamaa yangu mmoja alikuwa ana download file alitumia na jamaa yake X sasa ikawa imesoma kuwa remaining 20 minutes akawa anaendelea na kazi nyingine mara bosi mmama akaja akawa anamwelekeza ripoti fulani kwenye PC ya jamaa wakati wanaendelea lile file la X likamaliza kudownload likalipuka vuuup kwenye desktop unaambiwa zinga la nyuchi kwenye screen , yule bosi (umri kaka wa mama yake) ilibidi aondoke akamwambia maliza mambo yako halafu uniite tuendelee
 

Mimi kila nikikumbuka cku hii najikuta nacheka na kuckitika alltogether, nilikuwa cjawahi kufanya kazi na multnational organisation, sasa ndipo nilipo(UN) yapata miezi kadhaa sas, hapa officn wageni tulioingia cku moja ktk kitengo ninachofanyia kazi tulikuwa kama 10 hivi, mtanzania pekeyangu, yaani tena mwafrika peke yangu, sasa ile wiki ya kwanza tumeingia mmoja wa mabosi ktk kitengo alikuwa naondoka ,kahamishiwa New Yrk, ikabidi afanyiwe part ya kumuaga, basi ikaandaliwa Lunch maalumu kwaa ajili yake, na huko ndipo mastaf wapya tulitakiwa tuwepo kwa ajili ya utambulisho, bwana we kasheshe ndipo lilipoanzia huko , maana ilikuwa ktk kijimgahawa kimoja A-town kinaitwa Blue Heron, mwanume kufika pale watu wamesha zunguka meza kila kikundi yakwake, mimi cna ninaemjua, kila ninapokaa tayari naambiwa kuna mtu da, sasa nikae wapi, nikasukuti mzee nikaona watu wanpanga foleni ya msosi, mimi kula kwa kisu na umma cjui yaani ninavyosema mara ya kwanza kuwa ktk mazingira hayo mcthani naongopa, misosi yenyewe migeni da ile kufika katika mabeseni ya misosi nikasema hapa nachukua ninavyovifahamu tu, baada ya kupakua nikawa natafuta kijiko mzee, ckujua kuwa kisu na umma vipo ktk meza tulizotakiwa kukuaa mi kucheki cioni vijiko ,c nikachukua kimoja kilikuwa kipo idle kinazubaa meza ya misosi kumbe ni cha kuchotea pilipili kwa anaehitaji, halafu kibaya zaidi ckugundua kuwa ni kikubwa na kizito yaani kukilia huwezi, mi nikabeba watu wananiangalia mbaya, sema wazungu hawana kucheka palepale, kufika mezani kwanza nilikaa ya mtu c pahal pangu, halafu mambo ya umma na kisu hapo , maji ckuyaona kwamba ni2mie mkono ,yaani nilipata tabu jamani halfu piga picha meza inawatu zaidi ya watano, kibaya kulikuwa na wakenya flani wao walinicheka laivu yaani hasa baada ya kujitambulisha kuwa mimi ni mtanzania mpaka leo nikikumbuka hili tukio najiskia aibu na kicheko vyote pamoja, hii imenifanya kukacha mimpart kibao ya offic mpaka leo .
 

hahahahahaah......
maskini pole sana! dah alikuweza vizuri....
 

hahahahhahahahah........
Mnaniacha hoi mno....
sasa huyo dada hakukasirika maana that was an embarrassment kwake pia....:doh:
 
wacha utani kabisa . hizo zote cha mtoto mimi nilifumaniwa na jirani yangu (mmama ) nikimgonga beki tatu yake , usipime hiyo aibu niliyopata.:nono:
 

Oh my God....
Aisee ungekutakana na boss kilaza anakupa na suspension kabisa....
 
Kuna katoto ka kike kalinipenda sana nikiwa shuke ya msingi, tukiwa skuli kananifundisha hesabu na kunisimulia mambo ya kwao. Mimi kwa vile nilikuwa mtoto wa mkulima hohe hahe sikuwa na kuelezea sana kuhusu nyumbani ilibidi nimdanganye tu mm napena kutizama TV sana na kwetu ipo,kumbuka miaka hio kwa sisi wa enzi za mwl TV ilikuwa 1 wilaya nzima. Nikarudishwa ada kama siku 3 sikwenda shuleni akaja na wenzake 5 wote ni vi do vya class, kwa bahati mbaya zaidi wakanikuta nimelala wakakaribishwa ndani, wakagundua hata umeme hamna licha ya TV niliyodanganya. Nilivyoitwa na kuwakuta sebuleni wananisubiri nilitamani kuzimia, mwenyewe akatabasamu. Kutokana na kuwa embarassed sikuweza kuongea naye tena tangu siku hio na uhusiano wetu ukafa
 
nilipoonja kwa mara ya kwanza, miguu iliuma then nilitumia at most 30sec
 

Duh....!!!
 
hahahahhahahahah........
Mnaniacha hoi mno....
sasa huyo dada hakukasirika maana that was an embarrassment kwake pia....:doh:
Ilikua embarrassment kubwa kwangu 7bu waungwana hawakujua kama niliazima memory stick
ila alijisikia hovyo kwa wale wachache waliojua pale around us.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…