What went wrong with Dullvan (Nini kimempata msanii wa vichekesho Dullvan)?

Slowly

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
10,589
Reaction score
35,268
Dogo ana kipaji kizur Sana , lakn sasa anakoelekea , sio poa baadhi ya reaction za mwili zinajengwa na mazoea , baada ya mda sitashangaa anakuwa na mambo ya kike kike...ajitahdi kubalance mambo naona sa hv amekuwa extremely kuact kama mwanamke , may be anamake huge 💰 , but soon gharama yake itaonekana ....

 
Tatizo letu wabongo ni stress, sasa kuna tatizo gani kwa msanii kufanya sanaa yake, mbona akifanya joti hauoni tatizo.
Mkuu style anayofanya joti na huyu unaona ni sawa? Joti unaona kabisa hii ni kichekesho maana hata mavazi na aina za make up zinaonyeshs hivyo, ila huyu dullvan kama humjui unaweza tongoza kabisa...
 
fame has price...kujigeuza mwanamke ili kupata umaarufu nayo ni mbinu tu...sikuhizi wanapenda kiki hawa wasanii..

kila siku wanabuni mbinu za kupata fame..hii ikiwa ni moja wapo
Cost yake ni kuloose ambition za kiume ...mfano mwanamke aanze kucheza mieleka , ni kweli ni Sanaa na atapata hela ni kweli kabisa , Ila atauforce mwili kuwa kama mwanaume ili kuendana na Sanaa anayofanya , na mwili utarespond , na hvo kuna character za kike zitapotea
 
Kwani tatizo liko wapi hapo si anatumia Sanaa yake mchumba wake analijua Hilo wewe unatokaje povu Kama mpenzi wake karidhia Hilo we ni Nani mpaka uteseke
 
jamani tupeane taarifa ya idadi na picha za hawa watu, maana nilivoangalia hapo picha ya kwanza na ya pili ikashawishi kumtongoza ikabid nisome uzi vizuri kumbe ni me duh!
Ha haaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…