What went wrong with Dullvan (Nini kimempata msanii wa vichekesho Dullvan)?

Kumbe ana mchumba , bas huyo mchumba wake ni zero brain aka empty head
alafu huyo mchumba wake ni mzuri ile mbaya mpaka namuonea wivu sijui hiko chombo amekipatia wapi na dullyvani ameshatangaza atamuoa mwaka Huu.
 
alafu huyo mchumba wake ni mzuri ile mbaya mpaka namuonea wivu sijui hiko chombo amekipatia wapi na dullyvani ameshatangaza atamuoa mwaka Huu.
Tobaaa! Yarabi.!
Yaani unamuonea wivu mke wa dully van dume zima ww?

Ouk muombe dully Vanny akufanye uwe Nyumba ndogo usihofu...
 
Tobaaa! Yarabi.!
Yaani unamuonea wivu mke wa dully van dume zima ww?

Ouk muombe dully Vanny akufanye uwe Nyumba ndogo usihofu...
Hiv ikitokea jamaa yako ana demu mkali kuliko demu wako ujisikii wivu?
 
Mkuu style anayofanya joti na huyu unaona ni sawa? Joti unaona kabisa hii ni kichekesho maana hata mavazi na aina za make up zinaonyeshs hivyo, ila huyu dullvan kama humjui unaweza tongoza kabisa...
unamtongozea wapi? kwenye maigizo? kama amevaa uhusika wa mwanamke na wewe ukamfananisha na mwanamke inabidi ukubali ndio kuitendea haki sanaa yake, sasa ulitaka avae uhusika wa wema sepetu ila afanane na kingwendu? ebu wabongo tupunguze stress kidogo. Je angevaa uhisika wa ushoga ingekuwa vipi. sio kila jambo unalipokea kwa mohemko.
 
Joti anajitahd kubalance , Dullvan ameenda sana ...95 % anachofanya ni female action
Ndio kitu ambacho anakiweza na ndio kinampa ugali. je kwenye maisha yake ya kawaida anakuwa hivyo? kama mtu anaweza kuvaa character ya mwanamke na kufanya vizuri, what bother you? sio kila mtu anaweza kufanya stand up commedy, kama anafanya mambo mpaka yakakufanya hadi wewe kumfuatilia, basi kafikia lengo.
 
Ebu walipue hao jamaa hawajielewi demu wake mwenyewe anajua dullvan yuko kazini anafanya kazi yake ya Sanaa wewe ambaye sio ndugu yake na hawa unamsaada nae kwanini uteseke
 
Kwenye maigizo, aliwahi kwenda kwenye sherehe ya wcb amevaa mavazi ya kike shwain ww
 
Dullvan Hana maigizo tena , ashapitiliza
 
Ha haha! Kama kweli nimekuwa mshamba mie! Kwa siku nyingi nimekuwa mpenzi wa kipindi cha vichekesho KITIMTIM, hata kama nimekaa garden nje napumzika na kaglas kangu ka mvinyo basi utasikia 'mwiteni mzee kitimtim tayari'
Lakini pamoja na kuona clip nyingi za WhatsApp za huyu binti kwenye picha haikupata kunijia akilini kuwa ndio yule Dulivan aka DaZuu wa kitimtim!
Nimecheka sana kwa kweli.
Ni kwa vile wasanii wetu hasa comedian hawalipwi vizuri tuu, lakini wanastahili malipo makubwa kwani kazi ya kuburudisha sio ndogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah picha za kwanza nikajua ni bonge la shori
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…