What went wrong with Dullvan (Nini kimempata msanii wa vichekesho Dullvan)?

Ukiwa rijali hata kama ni kazi(kutafuta ugali) kwa mwanaume kamili kuna baadhi ya vitu utavishindwa. Huyu tangu muda niliona kunayo shida. Hata kama hiyo video anasingiziwa.
mkuu na wale tunaopenda kula mtandao pendwa tunaruhusuwa ku-comment
 
aaaaaaah ww we joti tangu liin ukamuona kaend fnya photoshoot studio na nguo za kike ata kama ayupo tunavoic ila dogo kazid sana kuigiza kidada io picha iende nch za watu watasema shoga na ukiweka oicha ya jot ya kike na za dulla za joti zmekaa ki comedy kbxa ss uyu jmaa daaaaah
Tatizo letu wabongo ni stress, sasa kuna tatizo gani kwa msanii kufanya sanaa yake, mbona akifanya joti hauoni tatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona akina Tyler Perry wakiekti kama wanawake mnawasifia
 
This is Joti
Your browser is not able to display this video.
 
Huyu dogo si yuko Pemba kaolewa na Sheikh Mahmoud? Dogo toka aolewe hatoki nje, yeye ni ndani tu hata sokoni haendi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…