Ipo nchi gani kwani?Ney wa mitego ameimba hivyo,anasema kuna joto sana na tope kwa wingi.
Haujawahi kufika?
Halafu huu uigizaji wa mwanaume kujifanya mwanamke ulishapitwa na wakati..sijui kwanini asitumike mwanamke moja kwa moja kufikisha ujumbe na badala yake wanamchukua huyu mwanaume na kumfanya kama mwanamke..kila igizo nnalokutana la huyu dogo ni lazima awe ameigiza kama demu. Labda kunaweza kukawa na mengine aliyoigiza kama mwanamme kwa kuvaa uhusika fulani ila mara nyingi unakutaka sijui kavaa dera, sijui mjamzito ni kama vile akiigiza kawaida anaona hapendezi. Sasa hii ni mbaya kwake na watu wanaomuangalia, si mnakumbuka Filamu ya Shoga ya Tinno ilivyopata tabu sijui kama iliachiwa niliacha kufuatilia maana mamlaka waliikataa. Anyway ni kabila gani huyu dogo