What went wrong with Harmonize

Huyu jamaa nakumbuka mwaka mmoja kabla kuondoka WCB alikuwa moto hata kuliko Diamond yan inshort nilimuona kama ndo nwanamziki bora Tanzania! Alivyoondoka WCB jamaa akaanza kuzingua sana af udhaifu wake mkubwa ni kwamba anakurupuka sana na kutaka kushindana na management yake ya zamani!! Kila siku ana sign wasanii wapya af wale wa mwanzo bado hawajafika popote! Me nilijua akitoka kule atakuwa ameondoka na maujanja ila ase anakurupuka sana,Aisee jamaa sijui anawazaga nini hivi unaanzje kusign wasanii label zaid ya wa 4 ndan ya miez tu! Af anasign wasanii wasiokuwa na maajabu!! Hao wasanii mda sio wataondoka zao! Sema jamaa tatizo kubwa ni kwamba anazungukwa na watu wasiojua mziki ndo maana
 
Mistake kubwa aliyoifanya kijana na ambayo haitajirudia ni pale alipoitwa na kayafa na kuambiwa "natamani ungekuwa mmbunge wa jimbo hili," hyo ilikuwa ni tiketi tosha ya kuchukua fomu kwenye huu uchafuzi ulioisha na angekuwa mjengoni mida hii pamoja na kina f. A
 
Punguza ujuaji...koment yako tu inaonesha hata wewe huna shuguli za kufanya.
 
Kwahiyo mkuu kumbe mziki hauwalipi kama mkwanja wa ubunge... Maana utasikia napiga show wa dollar 15000 nimesaini deal la umbassador milion mia, ukipiga hesabu unaona wanaingiza mpunga mrefu
 
Umeongea vyema sana dada..huyu jamaa anaanza kua mpuuzi anafanya wamakonde wadharaurike tena.
Dharau,majivuno,bifu za kijinga,skendo zisizo na mashiko.

Bifu na domo angetuachia haters na anonymous kama sie yeye angeendelea na muziki mzuri. Sasa mtu hadharani anaonyesha kukosa shukrani kwa aliyemshika mkono mpaka kujulikana.
 
Kutoka Chitoholi hadi alipofikia ni hatua kubwa na ya kupongezwa, kumtarajia makubwa zaidi ya hapo ni kumpasua bichwa tu.

BTW alisema “kuna tofauti ya kuzaa na kuzaa mtoto wa kizungu, tunahesabu miezi tu”... vipi tayari huko?
 
anavimba sana ndio tatizo alafu nyimbo zake ni low quality now days
 
Atajijua mwenyewe awe kama Mavoko sawa tuu, wasanii wapo tele wa kusikiliza nyimbo, eti kumiza kichwa kisa msanii huo ujinga sinaga nyimbo ikitolewa kali hata na zuchu, amber ruty naskiliza maisha yanaenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…