What went wrong with Harmonize

Ila mashabiki wa WCB huwa naona kama mko desperate sana.

Mmekuwa radicalized kama wafuasi wa Trump. Mnatia sana huruma aisee.
Hawa jamaa kama mambuzi vile..yaani wanafurahi kuona Harmonize ngoma haziendi.

Mtu unayejielewa when it come to music inabidi usikilize muziki mzuri tu,mambo mengine ni ya kipumbavu unaachana nayo.
 
Niliisikiliza ile nyimbo ya " Mtaje " aliyo iperform na band naona ipo poa.

Tatizo la Harmo hapangilii mambo yake basi,yy aendee polepole huko mbele atachanganya,sasa hivi katoa nyimbo na Angela sasa sijui Cheed na Killy watatoka lini.

Labda tumuulize Robidinyo ,oya Spartacus mnyama mkali Cheed na Killy wanaachia lini projects zao? Siku hizi umewasusa hutupi habari zao kama zamani.
 
Mwamba wa chitoholiπŸ˜€πŸ˜‹
 
Jama la Facebook hili Nili admin lama group za ngono ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…