What went wrong with Shevchenko?

Quemu

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2007
Posts
984
Reaction score
133
Nakumbuka huyu jamaa alikuwa anatisha kweli alivyokuwa Milan. Lakini alipojitusi nakwenda Chelsea, akapigwa benchi mpaka basi. Sasa sijui alipoteza confidence au vipi....??

Muda wa kutundika daruga nao umewadia, isitoshe sidhani kama Milan watakubali kumnunua maana Ancelotti ameshatamka kuwa watamchukua Beckham.
 
Muda wa kutundika daruga nao umewadia, isitoshe sidhani kama Milan watakubali kumnunua maana Ancelotti ameshatamka kuwa watamchukua Beckham.

Lakini huyu jamaa ana miaka 32 tu. Bado angeweza kuonyesha cheche kwa miaka kama mitatu zaidi.
 
Lakini huyu jamaa ana miaka 32 tu. Bado angeweza kuonyesha cheche kwa miaka kama mitatu zaidi.

At 32 na hupati mechi nyingi za kucheza sio kitu kizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…