What will be your reaction

Kimbweka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2009
Posts
8,597
Reaction score
1,690
Umeolewa na mmeishi kwa muda(miaka) mwingi, mumeo ni askari/Mwanajeshi kwa hiyo kuna kipindi anakuwa zamu ya usiku. Siku mmoja ukaja kustukia kuwa mumeo anajihusisha na mambo ya ujambazi nyakati za usiku lakini hukuaga kuwa anaenda kwenye zamu yake kituoni. Mdada utandelea kuishi naye na kutunza siri au utatimuka mambio?
 
ahh ntamwambia anambie kwa kina alianza lin n y....
ntamsamehe ..cz skujua na nanajua kuna factor nying sana zilizopelekea yeye kuwa jambaz..uenda mimi pia nilichangia yeye kuwa jambaz
ntamsamehe na kumpa councelling....
wanawake wa rombo uko wangesema ahhh nimepata kidume kweli kweli bwana goodluck ni jambaz akyanan nakwambia napata kilakitu mimi...........
 

Haya bibie angalia asije kukujambaz na wewe
 
Kibweka twende kazi nafurahi kweli kupata thread zako aisee kaza buti Mkuu.

Lakini jambazi simuachi ndo nishampenda hivyooooooooooooo
 

We Kimbeka hizi thread zako ndugu yangu zina2funga mdomo, haya mimi cna cha kusema
 
Kibweka twende kazi nafurahi kweli kupata thread zako aisee kaza buti Mkuu.

Lakini jambazi simuachi ndo nishampenda hivyooooooooooooo

Eeeh kweli kpenda roho, boga na ua
 
AAAA BINTI AKIJUA WEE NI JAMBAZI SI NDO ATAKUCHUMA ZAIIDI MANA AJUA MSHIKO HUKOSI WEE FULL WALLETI HULIPWI KWA MWEZI WALIPWA KWA USIKU MMOJA TUUU...AKUACHE TENAA?????:smile::smile::smile-big:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…