What would you do if you were ME!

Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha..... duuuuh, hiyo kali... daah, mshirika unajua kuua wewe!! lol

LOL! Mmenivunja mbavu ile mbaya namuona mjomba nzokanhyilu na viwalo vyake babu kubwa na milwatu (hivyo sio viatu) ni milwatu akijipitishapitisha kupiga speed kwa shishi....πŸ™‚ Shishi kasema kweli atapata mume hapa hapa. Kama kwenda na wakati ndio huko, bado sijavaa viwalo ya nzokanhyilu bora nionekane wakuja....LOL!
 
 
ShisHi

UkweLi ni kwamba the Guy HajatuLia.. nakushauli don even tink aboutto get back.. endelea na maisha Yako time will tell, When time kamz mwenyewe utaona nani ni wako else I bet He will hurt u agan SugaR. Learn ! SmiLe
 
Shishi upo wapi for some updates?πŸ™„πŸ˜Ž
 
Hell no sister you are not going back to that dude. 1.he is poor at communicating, 2.he is not open, 3.he doesnt want to discuss important issues, 4.he got married and divorced in three months? Conclusion he is not husband material.
Am new at JF but after reading a few of your posts can i rephrase the charmingly delicious to deliciously charming?
 

ah bwanawe polepole.that was then n thngs hav chngd alot. Harusi december.
 
ah bwanawe polepole.that was then n thngs hav chngd alot. Harusi december.


Ipi sasa na wewe Shishi..... ya Nairobi au hiyo? eeeh.....kama vipi si tunavuka boda kuja kula pilau au ndo ile ya 100 special guests?
 
Mzalendohalisi sasa unawapa kichwa wanaume,unawaambia kina Fidel80 kwamba 'kuolewa ni bahati'? huoni unawapa leseni ya kuonea na kunyanyasa dada zetu,maana afterall watasema 'atakwenda wapi huyu na umri umesogea,akitoka kwangu atamtaka nani'?
 
ah bwanawe polepole.that was then n thngs hav chngd alot. Harusi december.
Chonde chonde Shishi,this is very important,yakaribia mwaka na nusu tangu ulipofungua hii mada (ilikuwa february 2008) hebu tueleze mtarajiwa nini kilitokea hapo kati kati na je unaolewa na nani ni yule yule Mheshimiwa sana uliyemtaja kwenye thread au njemba nyingine? kama ni nyingine uliivuta toka humu ndani ya JF? Maana inaelekea member wengi walianza kukusarandia!
 
Ipi sasa na wewe Shishi..... ya Nairobi au hiyo? eeeh.....kama vipi si tunavuka boda kuja kula pilau au ndo ile ya 100 special guests?


ah! umenifurahisha kwani ni ngapi???usijali wanaJF wote wamealikwa tena kiingilio ni haya majina mloo jibandika hapa JF, name tags zitakuwa ndizo kadi, sijui tuifanye boda ndiyo nyote wakenya na watz mfaidi??? mmmmmm. nawasubiti nyote kwa hamu!!!
 


ahahahhahaha duh bishanga una vijimambo.... hivi nani kaianzisha upya hii thread????mmmm kaizer huyo! ati for updates. sawa basi wacha niwape updates.... we've been dating again for the last 12 months or so...am happy abt the turn of events ndio naazna kuwaalika pilau na chakacha wiki nzima muanze kuomba off makazini!!!


wala sio wa JF sasa mie mtoto mzuri mambo ya kina YoYo na Fidel ntaweza kweli...... mara sijui department B ahahhahahahha
 

Awesome piece of advise my brother!
 
ah! umenifurahisha kwani ni ngapi???usijali wanaJF wote wamealikwa tena kiingilio ni haya majina mloo jibandika hapa JF, name tags zitakuwa ndizo kadi, sijui tuifanye boda ndiyo nyote wakenya na watz mfaidi??? mmmmmm. nawasubiti nyote kwa hamu!!!

Tunataka kukuteka na tukupe passport ya Kitanzania ha ha ha ha Itakuwa poa sana πŸ™‚
 
Shishi wahenga walisema curiosity ilimuua paka,wacha nife we niambie tu exactly nini kilitokea mpaka mkaamua sasa muape hadi kufa na kuzikana? na yule mamsapu wake mama kabebiii iliisha vipi ? na yale majamboz ya ushauri nasaha na damu nanini mlikwenda...i mean amref?
 

bishangaaaaaaaaaaaaa ati niache ufe,,,sithubutu ufe kwa nini.... wajua kipenda roho ula nyama mbichi??? tulizungumza kwa kina kwa muda mrefu infact a year kabla hata hatujaktana tena... nilkuwa majuu yeye nyumbani, so evenatually niliporudi akaja tukakutana though it was strange at first.. i was very distant tukaendelea kuongea u know after meeting u almost wan to start the discussions again in person.... mama kabeebi alirudi kwao akaendelea na maisha yake. ushauri wa nasaha na damu nitaku PM ahahahhahahahha... lazima hiyo siwajua
 

LoL habari ndo iyo Shishi...sa umeona mambo msuano kabisa ulitaka kutunyima pilau kumbe wahenga hawakukosea waliposema kipendacho roho hula nyama mbichi na mavi ya kale hayanuki!

Mi ntayarishie kadi kabisa! ohoo sitaki ku gate crashπŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…