What would you do?

Unaweza kuwa rafiki yangu? Nataka unikaribishe unifunike na khanga ukiwa umelalia kifua changu. (Ntafurahi zaidi kama utakuwa umevaa bikini) Halafu tuone urafiki wetu utafikia wapi.:humble:

unanitega eeeh, naona kama huwezi ukawa rafiki mwema
 

Huo ugomvi hata Obama hawezi amua..

Here is what I make out ur story. Huyo mkaka inaonekana anaikata kiu ya kikubwa ya huyo mdada kisawasawa bila kusaza, ndio maana mdada wa watu hawezi kujinasua tena hapo, akimuona tu huyo njemba inakuwa kama mbwa amemuona chatu..Ingawa anaweza akawa haridhishwi na mambo mengine ya hiyo njemba trade-off anayofanya anaijua nafsini mwake, hivo hamna ushauri atakaosikiza..
 
women....its very hard to understand how you think! Assume it was you who's disapearing & appearing unadhani huyo jamaa angekuspare???😛ound:
 
Nadhani amuignore tu huyo jamaa, asimkaribishe kwake:argue:. Anakuja na kurudi kwa vile yeye mwenyewe anamu-entertain. Awe na msimamo. SIDHANI KAMA ANAO.
 
women....its very hard to understand how you think! Assume it was you who's disapearing & appearing unadhani huyo jamaa angekuspare???😛ound:
:frusty::A S 39:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…