MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
- Thread starter
-
- #61
Ain't no better school than xperience. Real life xperience, u'na mean? But I can be your life coach if you r interested.
Yaani Wiselady my sisy nimejikuta nashindwa kujua nikitakacho ndo mana nkalileta barazani maana chumbani limekuwa zito. Au pengine inabidi wakati mnaanza urafiki muulizane kila mtu anapenda wa aina gani. Kwa sababu unawezajikuta bidada uko mpole kwa chumba but mchangamfu nje ukaonekana unafake chumbani ...... au ukawa wild chumbani mpole hadharani akakuona msanii.................... ah
Eehmm................... k..... I hope the fees wont be so high maana ..... u'na mean?
ah! Mi nshachagua tayari so hapa hapanifit hata kidogo:bump:
Sasa dearest mi nadhani kila sekta awe wa kiasi,chumbani akifurukuta mno inaweza kuchosha,akiwa mchangamfu tena kupita kiasi napo itabore!kwa hiyo kila kitu kwa kiasi.
Tunaweza kusomana mapema tu kny dating vicharacter kama vya ucheshi,uongeaji n.k sasa hapo kwa chumba ndo itavuta kamuda lkn napo utagundua hata thru body language yake.
We nawe kwa kukimbia kivuli ah hata sikuwezi.........................haya kila la kheri na ukunguru wako. Hutaki hata kutwambia huyo ulimchagua yu koje? wild or shy? and why do you love her?( I assume you are a HE Kaizer)
Ni kweli maana waliooa hawana uchaguzi tena labda na waliotalakianaNaona hili linawahusu walio ''single''. Over and out!
Habarini wapendwa. Nimewamiss
Jamani niko huku kijijini nikitafakari mwaka uishao na kuufikiria uanzao kwa Rehema za Mwenyezi MUNGU. Kwangu mie 2011 ni mwaka wa kipekee sana as nimeupangia kuufanya spesheli. Lakini wakati nawaza na kuwazua nimejikuta nikikumbana na vijiswali uzushi vya hapa na pale naomba tushee ili tujuzane zaidi yaliyo muhimu katika kuboresha mahusiano yetu na wenzi wetu. Najiuliza
1. Ni mwenzi wa aina gani ambaye ungependa/ anafaa kuwa naye katika mahusiano
a) Aliye wild chumbani na mpole/mkimya hadharani
b) Aliye mwenye aibu/haya za kike chumbani lakini mchangamfu -mwenye matani hadharani au
c) Aliye mkimya/mwenye aibu kote hadharani na hata chumbani?
Ninaposema mchangamfu namaanisha: Mcheshi, mwenye matani na mwongeaji kwa wote wewe, friends zako, ndugu zako e.t.c.
mhhhhhhhhh
mh sijui nikoje hata............. but si mpole kote ........I think though nina kiaibu flani hadharani...cha uzushi nadhanimwanajamiione nipo curious kidogo we upo vipi????????
mh sijui nikoje hata............. but si mpole kote ........I think though nina kiaibu flani hadharani...cha uzushi nadhani
I see you....you see me...we are one big happy family...
Hujambo lakini?
Kaizer...nasubiri ujue.........Jinsia speculation MJ1 and u have been warned...assumptions are not welcome here...
Kaizer...nasubiri ujue.........
A lot baby...............am so excited naomba tu MUNGU anisaidie. To me 2011 its a virgin year to me.........Got any resolutions for the new year?