What z the perfect time for samone to marry/married

What z the perfect time for samone to marry/married

bface

Senior Member
Joined
Dec 22, 2010
Posts
128
Reaction score
19
Am talking especially age, kwa mwanamke range ni miaka mingapi mpaka mingapi likewise to men, ingawa mtu anaweza oa au olewa at any age bt ki kawaida ni miaka mingapi?
 
When u feel that umefika age ya kuoa/kuolewa its a subjective issue rather than objective
 
Age kuanzia utapo ona umekuwa kuoa au kuolewa
 
umri wa serikali ni kuanzia miaka 18 na kuendelea lakini chini ya hapo lazima kuwe na makubaliano baini ya mzazi ,mwolewa. Sijui kama sheria hiyo imebadilishwa .
 
Back
Top Bottom