What's behind U.Kenyatta Washington state Visit?

Somalia tu, hakuna kingine zaidi ya hicho, Kenya inatumiwa na USA, EU & Co. kipigana proxy war Somalia, hicho ndicho kilichompeleka Uhuru Kenya USA!
Vile mlitumiwa na museveni kufukuza Iddi kwa kigezo eti nduli. Ona vile mumewapatia wayuganda taabu sana kwa kuwajengea bepari mwingine. Yaani hawezi ngatuka madarakani hadi mtutu uamue. President for life nkt!... Njia moja tuu ya kulipa wayuganda itakuwa ni kuwasaidia kungo'a huyu 'mamluki'. Lakini najua hilo hamuwezi maanake kishaa wahonga na bomba.....lol!.
 
Una kiswahili kibovu alafu unaongea pumba tu hapa.
 
Vile mlitumiwa ndio kiswahili gani hicho??
Wakenya bana .
 
Haha hii story ya UK kwenda US imewapa waTZ taabu sana. WamePanic [emoji23][emoji23][emoji23]

Tulieni. It's nothing out of the blue kwa waKenya... Ni vitu tumezoea
A boy from kibera anakupa hi,sasa mnataka kutuibia hadi bendera yetu mseme ya kwenu!
 
Kenya is financially unfit, wanahangaika sana kujinasua hapo, kuna plans wanapanga na marekani a win-win ili walipe debt ya SGR
 
Kabila,museveni,kabila na nkuruzinza Tanzania ndio nyumbani kwao kwa pili baada ya hizo nchi wanazoziongoza,TZ ndio baba kwa nchi za maziwa makuu,mungiki nyie tulieni tu dawa iwaingie
 
Nimecheka ZE ZE as ze
 
Kabila,museveni,kabila na nkuruzinza Tanzania ndio nyumbani kwao kwa pili baada ya hizo nchi wanazoziongoza,TZ ndio baba kwa nchi za maziwa makuu,mungiki nyie tulieni tu dawa iwaingie
Hatuwezi tulia maanake huko unakotaja ndio ligi yenyu. Jiulize mbona huko kwote ilihali tuu hapa kwa nyang'au hamjatamba na ilihali sisi ni majirani ?. Halafu tena Angelia ulikotaja!. Kagame ndio mwingine alianza poa na asipowachilia mapema pia atarombeza, huko kwa kabila sijui Nkurunzinza ndio usiseme.
 
hahah then your Shithole country will be grateful after the ambush to our nation? will this make any noticeable change in your bank account?

Colonizing you won't add a dime in our economy, we would actually inherit poverty, but hey I won't mind coming for beauties from Tanga, or those ladies from Wambulu community in Arusha.
 
Colonizing you won't add a dime in our economy, we would actually inherit poverty, but hey I won't mind coming for beauties from Tanga, or those ladies from Wambulu community in Arusha.
wewe deal na wamombasa wanakutosha
 
wacha upumbavu wako wewe.. tuwaibie bendera nchi maskini LDC ndio iwe nini haswa? au umeskia hatuna bendera? hio hapo kwenye shati inaitwa creativity
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ creativity at the apex
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…