I disagree
Morgenthau and Zbigniew Brzezinski are among the few prominent IR scholars who spoke their minds
the problem with Zakaria is his allegiance to he neo realists point of view which doesnt really work in modern world
GT,
Sijui kama umenielewa. Naomba kwanza nirudie nilicho sema: Fareed Zakaria, kwa sababu ni mgeni aliyepewa kazi kubwa Newsweek na Uraia, uchambuzi wake wa foreign policy unakuwa wa kuuma na kupuliza kwa sababu, kwa mawazo yangu, anaogopa backlash ya kuonekana hana allegience na US kuliko India.
Sasa, ili upangurue hoja yangu kwa kutumia mifano ya watu kama Zakaria, kama ulivyo jaribu kufanya, ilibidi unipe mifano ya watu kama Zakaria, ambao wanaongea huru
wakikosoa siasa ya nje ya Marekani.
Bahati mbaya watu ulionitajia nao aidha wana sapoti Siasa za Marekani au hawasemi lolote kuhusu siasa za Marekani. Zbigniew Brzezinski alikuwa foregn policy hawk, na tunajua Siasa ya nje ya Marekani is mostly hawkish. NI hii military industrial complex ya kuwa polisi wa dunia. Kwa hiyo mfano uliotoa, sana sana una sapoti pointi yangu mimi. Mgeni ambae anashindwa kuwachana wenyeji wake. Sijui unanielewa?
Na Morgenthau, kama unamwongelea Hans Morgenthau, yule alikuwa ni theorist wa foregn policy za dunia kwa ujumla. Hajulikani specifically kwa kuichana Siasa ya nje ya US. Alikuwa anaichana zaidi Nazi Germany. Tena yule ndio cha mtoto, cha mtoto kabisa ambae asinge thubutu kuichana US policy. Kwa sababu wakati anakimbia Unazi kuja US, Marekani ndio ilikuwa inawaokoa wayahudi katika vita vya dunia. Na yeye, kama Einstein, asingeweza kuikosoa American foregn policy.
Sasa, achana na Fareed Zakaria. Angalia huyo samaki mkubwa mwingine: Lini umesikia Einstein, ambae alikuwa anaongelea sana Siasa, lini ulisikia anakosoa Marekani, zaidi ya kuiimbia sifa kwamba anapenda wanavyo jenga nyumba za mbao?