Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
Kuna mtu aliwahisema kuwa ni1): Cloud puller: Kila mtu anataka kwenda pale kusoha jina na kuonekana yupo mjini. Samaki Samakai ya Mlimani City nayo ni design hii, lakini pale ni pa mabishoo zaidi!!!!
2) Vyangudoa: hasa kwa vijana, wako wa kumwaga, ni pesa yako tu
3) MIchemsho na supu ya kumwaga, utakimbiliwa sana (jihadhani na kuongezewa bill)
4): Pana jina: FULL STOP
Kuna mtu aliwahisema kuwa ni
Kijiwe cha umbeya! Kila umbeya wa jiji hili, maceleb wote wa kisiasa n.k utaupata pale.
Licha ya kua facebook aka kijiwe cha watu maarufu jijini. pia kuna parking ya magari nzuri yenye ulinzi na car washers hivyo wengi huacha magari pale na kutokomea guest bubu. ndo maana cku zote rate ya magari kwenye park ni mengi hata ndani kukiwa na watu kidogo. so ladies n gents ukioa gari la mwenza lipo pale uje kashaliwa ni sawa na ukiona manyoya ya kuku........
Mi nadhani mnasahau kitu kimoja kuhusu convenience. Mfano nimesoma mlimani na nilikuwa nakaa mitaa ya Sayansi baada ya kumaliza chuo. I can say Rose Garden ilikuwa karibu na ninapoishi. Kwamba kuna macelebrities..well..wengine hapa ni watoto wa wakulima hata huo ucelebrity hatuujui zaidi ya kwenda pale unakula kokoto yako na bia zako then unasepa. Ni kama Brake point.......... Kama unakaa knyama ni sehemu convenient. I would say the same pale chagga bites kipindi cha nyuma. Kwa wale wanywaji..utagundua kwamba wengi wetu tunapenda kunywea viwanja vya 'nyumbani' mtu anaishi Tabata..ni mara chache umkute anakunywa Mwenge au Mikocheni...kama hana usafiri wa kuaminika.
Halafu tukubali, Tanzania sehemu nyingi swala la customer care ni bure! Peronally kuna bar nyingi za Sinza siwezi kwenda. Utalipa hela yako lakini ajabu ualetewa glasi chafu au yenye maji haijaoshwa vizuri!..kwa kulinganisha..RG is much much better...
1): Cloud puller: Kila mtu anataka kwenda pale kusoha jina na kuonekana yupo mjini. Samaki Samakai ya Mlimani City nayo ni design hii, lakini pale ni pa mabishoo zaidi!!!!
2) Vyangudoa: hasa kwa vijana, wako wa kumwaga, ni pesa yako tu
3) MIchemsho na supu ya kumwaga, utakimbiliwa sana (jihadhani na kuongezewa bill)
4): Pana jina: FULL STOP
kuna ukimwi kama vile unavyovuta hewa ndio unavyoweza kupata ngoma mitaa ile
Licha ya kua facebook aka kijiwe cha watu maarufu jijini. pia kuna parking ya magari nzuri yenye ulinzi na car washers hivyo wengi huacha magari pale na kutokomea guest bubu. ndo maana cku zote rate ya magari kwenye park ni mengi hata ndani kukiwa na watu kidogo. so ladies n gents ukioa gari la mwenza lipo pale uje kashaliwa ni sawa na ukiona manyoya ya kuku........
Bustani ya rose...!
kuosha macho
kunywa bia
kuosha gari
parking kubwa
totoz
misosi varieties
usafi ukilinganisha na bar zingine
afu ukimwi wa rose gadeni unaua vibaya kweli kweli....kuna ukimwi kama vile unavyovuta hewa ndio unavyoweza kupata ngoma mitaa ile