I was 16 at that time and one man I had never seen before (who looked like he was in his 50s) sat besides me and
asked me if i wanted to go to his house and watch Tom and Jerry. He was very strange. What's the strangest thing
that's happened to you while on the bus?or anywhere?
Hahah umeshika pabaya...
Ndo mwanzo wa safari sio....
safari ya wapi....
safari ya wapi....
safari ya wapi....
Seriously... Sio strange ila ni experience ya ukweli siwezi sahau, mikoa ya Southern highlands... Kitambo sana wakati ndio nimeanza maisha ya ndoa kuna siku nilipanga gari front seat. Tulipofika kituo kimoja hivi kuna dada alipanga lile basi na kuomba nipakate mtoto wake wa kike nadhani alikua na miezi 9 hivi as verified by bibi yake baadae... Mwisho wa siku gari inafika mwisho wa kituo nasubiri yule mama anipokee mtoto nashangaa kuona hakuna. Kumbe yule dada katoka mkoa mwingine na kamtelekeza mtoto kwa njia hio... Nikawa sina jinsi nikaenda police, police wakaniarifu hawapokei watoto itabidi nikae nae hadi mama mtu atapo patikana. Niliishi na huyo mtoto kwa siku 5, siku hio ya tano alipatikana bibi mtu... The kid is seven years now... Toka hapo sipokei mtoto kumpakata ikitokea nimepanda dala dala... kabisa nakataa....
kitu strange kimewahi nitokea ni . . .'kulipa nauli' By then nilikuwa bado mimba tu.
Kitu kibaya kuliko vyote,
ile nimechelewa kupata daladala kule mbeya nikitokea job kukiwa na magari ya milango miwili
nikiwa na ujauzito wa miezi miwili, kufika home nimechelewa kidogo lol, jamaa alishauti ile mbaya
kwa kuwa nilikuwa nimechoka sana na hasira, ule ujauzito kesho yake ukaharibika,
nikiwa kwenye magari hayo hayo natoka uyole kwa dr. sijabaji ili niende meta hosp.
nilikuwa nableed ile mbaya, miguu yote ikalowa blood, lol, ngoja nilie kwanza.