What's the worst thing to happen to you?

mshangazi mmoja hivi mnene mnene nikiwa namlambalamba naniliu si akanibana na mapaja yake huku kanishika na kichwa!,kiberenge wa watu pumzi ikanikata pumzi zenyewe mbili hizi nikipiga kelele hazitoki nikaona isiwe tabu nilimuuma ndo akaniachia! vibonge siwataki tena.
 
Kuna muda niliwahi kufikiria nimeathirika na ukimwi ingawa nilipima nikakuta negative; niliishi kwa mashaka kwa miezi mitatu ndo nihakikishe kwamba sina kabisa. Nikakutwa negative. Kipindi iko ndicho kilikuwa kigumu kuliko vyote kwangu.
Pole sana.....

Mie sina kibaya
 
mshangazi mmoja hivi mnene mnene nikiwa namlambalamba naniliu si akanibana na mapaja yake huku kanishika na kichwa!,kiberenge wa watu pumzi ikanikata pumzi zenyewe mbili hizi nikipiga kelele hazitoki nikaona isiwe tabu nilimuuma ndo akaniachia! vibonge siwataki tena.
I salute you captain ⚔️
 
Kuna level ya elimu nilifeli! Stress zake sitaki kukumbuka shida haikua kwangu nilikua nawaza mama atalichukuliaje
Nilikua namuwaza yeye
Je unaona hiyo level imekuathiri vip kwenye maisha yako ya sasa?
 
Kufeli kidato cha nne " sikutegemea nilikuwa vizuri sana". Kuvunjika ndoa " nayo sikujiandaa".
 
Je unaona hiyo level imekuathiri vip kwenye maisha yako ya sasa?
Nilipoteza muda bure ambao niliutumia kusoma kwenye level hiyo
Nilifeli kwa uzembe wangu kwa wakati ule niliumia lakini sasa naona Mungu alikua na sababu yake ambayo nimeijua
 
Usifikirie ya nyuma kama makosa , chukulia kama fundisho tu , bado haujathibitisha Kuwa Mungu yupo.
 
Back
Top Bottom