What's wrong with torrentz? Karpesky je?

Firewall

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2012
Posts
272
Reaction score
61
Wadau hebu tujuzane hapa. kwa kiasi fulani mimi ni mdau wa hizi mambo from web za torrentz, nlichosikia kwa baadhi ya watu ni kwamba hizi webs zina alot of malwares thats why walio wengi hawazipendelea. Je hilo lina ukweli kiasi gani?? na kwa kiasi gani? Binafsi sometyms napakua vitu toka huko na sijawahi kupata tatizo lolote. so wadau 2juzane apo. Hilo moja, la pili.. Whats wrong with karpesky antivirus? Niliwahi kuinstall this antivirus kwenye pc yangu but pc ilikua veryyy slow. Ila nikiiondoa mashine inapiga mzigo kama kawa. Je hili tatizo ni kwangu 2? nw natumia Norton, pc inafanya kazi kama kawa tofauti na nlivowahi kuweka karpesky. tusaidiane apo wadau..
 
Sorry wadau.. nlikosea kupost hii kitu huku.
 
futilia mbal..huku sio kwake!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…