What's your favorite break up song?

maji ya gundu

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
3,070
Reaction score
4,698
Habari zenu wanna Jf

Mi huwa nazisikiliza hizi
Cry no more by Chriss brown
Niache ya Diamond platnum
Surrender ya Natalie Taylor
Siwezi ya Baraka the prince
Aljandro by Lady Gaga

Karibu share tupate kujufunza vitu vipya

Maisha ni mapenzi bila mapenzi hakuna haja ya kuishi

Afu kuna hii ya kadjanito inaitwa nifanye nini nikusahau
 
no love ya eminem
 
Bora tumeachana - D Knob
 
Duuuh! Hivyo mkiachwa mnakaa mnasikiliza nyimbo au mi ndo sijaelewa!!
 
Duuuh! Hivyo mkiachwa mnakaa mnasikiliza nyimbo au mi ndo sijaelewa!!
Swali limeulizwa tu wimbo unaoupenda wa kuachana. Naamin limelenga katika uzuri wa wimbo katika mada hiyo ya kuachana si lazima uwe unasikiliza ukiachwa.
 
Let me down slowly by Alec Benjamin
Pia kuna
So done by The Kid Laroi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…