whats your favourite food,and how do u prepare it.....

Stumai, juku ni kututegea. Umenikumbusha mwalimu wangu wa cookery and home economics marehemu mrs mtwale. She was severely obese na atufundisha healthy cooking. She died of a heart attack I hear.

Hebu funguka, niko na ww Leo mgeni.
 
mm napenda sana wali samaki na mboga za majani,na parter wangu anapenda sana huo msoc kwakweli,napika samaki ya nazi na wali wa kukaanga yaani napenda sana akila anafurahi nakuongeza kila saa
 
Nait fudi au day fudi?

Namaanisha unaongelea fudi ya kushibisha tumbo? Kuna aina nyingi za fud hasa ukizingatia umeleta hii mada MMU
 
naongelea vyakula vya aina yote... so is up to you kusema chakula kipi unapenda km cha"nite" au kile cha tumboni.aya kongosho twende kazi
 
Stumai, juku ni kututegea. Umenikumbusha mwalimu wangu wa cookery and home economics marehemu mrs mtwale. She was severely obese na atufundisha healthy cooking. She died of a heart attack I hear.

Hebu funguka, niko na ww Leo mgeni.

Hee, King'ast Mama Mtwale alishafariki? Im so sory jamani! Im so sad jamani!!
 
Ahaaaa, achana na konnie, anawazaga soul food tu.
Mie napenda michemsho yoote kasoro ya bata. Ila kmoto, kuku, ng'ombe, sungura, mbuzi, nyoka, samaki, u name it.
 
Hee, King'ast Mama Mtwale alishafariki? Im so sory jamani! Im so sad jamani!!

Afu ujue mie nod nilikuwa dota wake, hiyo rambirambi unilipie premium membership tafadhali.
Wewe dota wa Mkea eeh?
 
Afu ujue mie nod nilikuwa dota wake, hiyo rambirambi unilipie premium membership tafadhali.
Wewe dota wa Mkea eeh?

Kwa kwa kwa kwa kwa!!!!!!! Mkea was my boyfriend!!! Seriously rambirambi natoa, lol!
 
napenda vyakula vyooote kasoro kuku, bata, mussels, oysters.....
 
napenda chakula cha ulimi/ulimi kitamu sana hasa kikiandaliwa vizuri na kiwe na harufu nzuriiiiiii, kwa maana wengine mmmmmmmmmmh nomer
 
Ukitaka kujua umuhimu wa nait fud, anagalia bajeti ya sensa.

Msipozaana kwa miaka 10, tutafanya sensa ya nini?

Ahaaaa, achana na konnie, anawazaga soul food tu.
Mie napenda michemsho yoote kasoro ya bata. Ila kmoto, kuku, ng'ombe, sungura, mbuzi, nyoka, samaki, u name it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…