whats your opinion on the powers of the DPP?

broda

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2011
Posts
245
Reaction score
159
wadau ivi aya mamlaka aliyonayo DPP wa Tanzania vipi?eti he is not required to give reasons for withdrawal of cases, anaeza amua kufungua kesi dhidi ya mtu na halazimishwi kufanya hivo ata kama kuna ushahidi wa kutosha, na pia hawajibiki kwa mtu au mamlaka yeyote, nini tufanye kuhusu mamlaka haya?:sleepy:
 

Nikitaka kuhakikisha hio habari napata wapi?
 
Mkuu huyu jamaa power aliyonayo kisheria ni kubwa kiasi kwamba ni kama ndiye Rais kwa sababu anao uwezo wa kusema fulani ashitakiwe au asishitakiwe na hakuna wa kumhoji.
 
SOMA the Constitution in article 59B and the National Prosecution Services Act na pia sheria ya mwenendo wa mashtaka ya jinai(The Criminal Procedure Act)
 

I'm not a lawyer but in my view the powers given to the DDP cleary constitute an ultravire to the doctrine of SEPARATION OF POWERS and obliterates the Indepency of Judiciary. This is one of those mulpractise devices by the executive to ensure it gross existance and manipulation across all rest arms. In short the DPP (the executive for that matter) is the judge of his own!
 
please nisaidien wadau with ur responses coz im undertaking a research on this for my laws degree, you are among the targeted respondents in my proposal na if possible suggest what should be done to control these powers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…