Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
cc: MO11Non of the above.
Wewe tunaendana kabisaaSingle + Crushing + It is complicated
Kumbe aiseeWewe tunaendana kabisaa
Kwanini lakini tunaharibiana we mtoto!!cc: MO11
Maswala mtambuka.Em subiri kwanza..
Tupo Hostel tumepumzika na rafiki yangu hapa, ameniuliza eti mtu "kwa nini unapenda kuchat na ex wako" ? Nami nikamuuliza wewe hujawahi tumia past papers kufanya revision?
Ahaahaaaa nipo tu nakula ubuyu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwisho midomo ichubukePitisha hapa huo ubuyu wako nikuongozee chumvi iliyochanganywa na pilipili ya unga.
[emoji3][emoji3][emoji3]Tupo Hostel tumepumzika na rafiki yangu hapa, ameniuliza eti mtu "kwa nini unapenda kuchat na ex wako" ? Nami nikamuuliza wewe hujawahi tumia past papers kufanya revision?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwisho midomo ichubuke
Kabisaaaa lazima ubuyu ushuke [emoji39][emoji39][emoji39]Unapozea na juice ya ukwaju kwa raha zako.