What's your worst lie you told and had to keep up?

He was aware of what I've done. Of course I told him and he was like "you did what but why would you even fake his death? You should've let him RIP" I felt a bit down.

Jf moderator ain't they bots?
 
He was aware of what I've done. Of course I told him and he was like "you did what but why would you even fake his death? You should've let him RIP" I felt a bit down.

Jf moderator ain't they bots?

Absolutely not.

They are human beings, liars and stalkers just like you.
 
Ukiona 30 and still virgin utasemaje? 24 mbona kawaida tu
There're only few in a million who walk with their virginities at age 21+, that's why i'm a bit reluctant to agree with her status. If that's true, hats off,girl you got my respect.
 
Mara nyingi nikidanganya huwa sababu yangu ni namba 4, naamini zaidi ya kuwa natenda dhambi uongo huo hauna madhara kwa mtu mwingine
Unaogopa kuwaumiza watu wengine. Vizuri sana Khantwe.
 
There're only few in a million who walk with their virginities at age 21+, that's why i'm a bit reluctant to agree with her status. If that's true, hats off,girl you got my respect.
Kwa hiyo unaamini hizo few million haziwezi kuwepo Jf
 
Mr, you have earned my respect.
lol!
 
Trh teh teeeeeeh.

Hata mimi ni bikra mdogo wangu.
 
Nakuona una kibarua cha kujifunza kiingereza! Umepata danga la kizungu linalazimisha ujue ung’eng’e
 
Ukiandika kwa kiswahili usiandike mada kama hii, kuna watu huku na mahakimu wa kutoa hukumu, waropokaji, na walokole feki watakushambulia hadi uchanganyikiwe. Na kuna wale wa shule zinafunguliwa lini hahahaha, uzuri hawajui hata kingereza hivo leta za viinglishi tuu mama tujifunze na sisi kuandika kizungu.
halafu story nililizozisoma humu zingekuwa zimeandikwa kwa kiswahili hata zisingenoga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…