Tetesi: ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ ๐˜„๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐˜๐—ฎ ๐—ณ๐—ฒ๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—ฟ๐—ฒ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ฎ๐—ณ๐˜€๐—ถ๐—ฟ๐—ถ ๐˜‚๐—ท๐˜‚๐—บ๐—ฏ๐—ฒ ๐˜‚๐—น๐—ถ๐—ผ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐˜„๐—ฎ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
620
Reaction score
1,240
๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ ๐˜„๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐˜๐—ฎ ๐—ณ๐—ฒ๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—ฟ๐—ฒ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ฎ๐—ณ๐˜€๐—ถ๐—ฟ๐—ถ ๐˜‚๐—ท๐˜‚๐—บ๐—ฏ๐—ฒ ๐˜‚๐—น๐—ถ๐—ผ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐˜„๐—ฎ




Meta wako kwenye majaribio ya kuachia feature mpya ya kuweza kutafsiri ujumbe kwenye Whatsapp, itaweza kumruhusu mtumiaji wa Whatsapp kuweza kutafsiri ujumbe aliotumiwa kwenye chati kwa kugusa mara Moja.

Feature hii ambayo kwasasa inapatikana kwa watumiaji wa beta wamepewa uwezo wa kutafsiri ujumbe wowote unaongea kwenye chati zake kwa urahisi, mfumo huu utaweza kutafsiri chati binafsi na ujumbe unazotumiwa kwenye channel.



Mwanzoni itakua kwa lugha chache kiingereza kikiwemo utakua na uwezo wa kutafsiri ujumbe wako kwenda lugha nyingine kwa urahisi sio kwa kukopi Tena kupeleka google au kutumia google translate hapana ndani ya Whatsapp utaweza kutafsiri ujumbe wako faster na kwa usahihi.

Whatsapp

#bongotech255 #whatsapp #whatsappfeatures #meta #whatsappbeta #teknolojia #habari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ