Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,313
- 12,170
Habari wakukaya!.
Niliamua kuiupdate whatsapp yangu nikakutana na application ya whatsapp business hii application nilianza isikia muda wakati ilipokuwa kwenye beta stage lakini sikuifatilia mpaka hivi nilipokuja ona tayari ipo kazini.
Kifupi application hii ipo kama whatsapp lakini ikiwa imetengenezwa kwa ajili ya wafanyabiashara maana imewekewa option za;
ina maana ndani ya simu yako unakuwa na whatsapp mbili moja ya matumizi yako nyingine ya biashara zako!. Ondoka na whatsapp hosts zingine ambazo hazipo secured!!
Kuipakua unaweza ipata Google playstore kama Whatsapp Business au pakua hapa whatsapp business

- inatumika ndani ya simu moja na whatsapp ya kawaida
- kuweka jina la kampuni
- taarifa ya biashara yako
- sehemu biashara ilipo(google map)
- option ya kuweka shortcut message kwa wateja wako
- ujumbe wa kuwajibu wateja wako unapokuwa haupo online
- kuwapanga wateja wako kimtindo wa mteja mpya, ambaye hajalipwa, aliyelipwa, aliyeweka oda n.k
- Taarifa muhimu za bidhaa zako
- option ya kutumia namba yako ya ofisini/mezani.
- kumbuka ni secured kama ilivyo whatsapp (end-to-end encryption)