Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Eti wakuu sana. Hii kitu whatsapp community ni kitu gani. Nimeona tu ni supergroup ambalo unaweza kuadd magroup hadi 50. Na whatsapp wanataka kuweka limit ya watu 1024 kwa group. Maana yake hili super group linaweza chukua watu 50,000+ ni nini hasa hii kitu.